DAR: Hayo yamesemwa na mwanahabari mkongwe Jenerali Ulimwengu wakati akizungumza Septemba 15, 2026 katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
Zaidi https://t.co/PoIRufXfU8
#JamiiForums#Demokrasia #InternationalDayOfDemocracy
Mnakumbuka Ile siku yule shahidi alisema kuwa FAM ndo alifanya kazi nzuri katika utumishi wake kuliko yeye?
Mhe. Lissu alicheka sana kisha akasema hiyo tunaiiita A kiss of death nendeni kamwambieni Mwenyekiti Mbowe kuwa mapolisi wa Tanzania wamempongeza.
Luka 22:47-48 ✅
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.
Halafu kuna viongozi wakubwa wa dini wanahimiza kuiombea tume hii.
Jaji Chande, Jaji Ibrahim Juma na IGP mstaafu Saidi Mwema watu walioongoza vyombo vya kutoa haki walitakio kuuona mtazamo huu na kujiondoa ktk uhuni huu wa wanasiasa kutafuta wasafishwe. Hii ni aibu na laana.
NCHI YA KISENGE SANA HII
shilingi trilioni 1.4 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida, huku shilingi bilioni 163
zikielekezwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Yoeli 2:25-26
“Nami nitawarudishia miaka ile iliyoliwa na nzige, yule nzige mkubwa, na nzige mdogo, na nzige mharibifu… nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulisifu jina la Bwana Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu; wala watu wangu hawataaibika kamwe.”