@HecheJohn Hongera, tumeonana hapo Makambako tukasalimiana kilugha kwa mbali kwenye mgahawa wa chakula. Hakika Watanzania wanahitaji mabadiliko sio kwa shamla shamla zile tata...
@counterattacktz Kwa kiapo alichokula sio rahisi kama unavyofikiria, U-RAIS ni taasisi kubwa sana. Kabla hajafanikiwa atakuwa ameaga mashindano mapema sana.
@DoneSome18@MathiasMashaur7 Mikeka yako imenipa huo mkwanja jana na hapo ni baada ya ku Cash out nisingi Cash out ningekuwa na 900k plus. Endelea kusambaza upendo rafiki