Hakuna youth man yeyote anataka kuwa president nimsupport? Hawa wazee wote waende home wakalime bana,its time for them to be self employed like they have always told the youths to be .🙄
Kuna wale love birds walikuwanga wanatutishia maisha huku na maua, kukiss na kuitana majina weird ati buu buu kirry kirry. Hii tl mtu anaweza andika novel