@prossoff@Sanchoandy2 We ni Mpumbafu, yani familia yako iteseke kwa jina la wito. Kazi tunaipenda na familia zetu tunazipenda pia acha kuongea upumbafu geto kama hauna familia
@rayasel94 Sio kwa ubaya ila Waroma walitesa sana wakristo kule Italia katika utawala wa Constantine mpaka alipojifanya kashushiwa upako na Yesu. Na yeye ndo baba wa RC akili tu
@ArchilesDulle @Labella_Mafia95 Unaongea pumba mzee, daktari hahusiki na Kutengeneza dawa kazi ake ni kujua kundi la dawa,mechanism of action, side effect na kuzi prescribe. Kila mtu anakazi yake duniani wengine watakua madereva wengine watatengeneza magari
@Ghost_Pizoo@Sirjeff_D@Tommy548383201 Sisi pia Wana wa Mungu anatujaribu hivo hivo kwasababu anatuamini tunaweza kumshinda shetani. Sisi ni viumbe bora zaidi ya viumbe wote.