SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Zaidi https://t.co/P2bs8TZSkR
#JamiiForums#Utawala
Muungwana amempa Mange maua yake, hata mimi naungana nae. Kama unaunga na wewe like, comment na kuretweet kwa wingi waone machawa wa CCM. Mwenyekiti wa CCM amemfunga wala sio Mahakama, maana haina sauti ya kutoa maamuzi kinyume na boss 🔥🔥🔥🔥
‼️CONFIRMED, NDULI IDD AMINI MAMA AMEAMURU MHE. LISSU AFUNGWE‼️
Nimejulishwa kwamba Nduli Idd Amin Mama alifanya kikao na Mwanasheria Mkuu wa Serikali haram Hamza Johari na Jaji Mkuu ambapo Nduli alitoa maelekezo kwa Jaji Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwamba Mhe. Tundu Lissu anapaswa kufungwa kuanzia miaka 5.
Jaji Mkuu alimwambia Nduli kwamba kwenye hukumu kesi ya Uhaini mtu akikutwa na hatia hakuna option ya kufungwa ni kunyongwa au kuachiwa huru kama endapo hana hatia lakini Nduli alimpuuza Jaji Mkuu kama kawaida yake.
Wakiwa kwenye kikao hicho hicho Mwanasheria Mkuu wa Serikali haram Hamza Johari akamwambia Jaji Mkuu kwamba Jaji Ndunguru na japo lake kwenye kuandika hiyo Hukumu watumie au kurejea kesi ya Khatib Gandi maana na yeye alipewa kesi ya Uhaini ila hakuhukumiwa kunyongwa, alipewa kfungo.
Jaji Ndunguru na jopo lake la Majaji walipelekwa Lushoto-Tanga ambako walijifungia kwa takribani wiki mbili wakiwa chini ya ulinzi wa watu wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa hapo kuhakikisha Jaji Ndunguru na japo lake wanaandika hiyo Hukumu, sawa sawa na maelekezo aliyotoa Nduli Idd Amin Mama.
Mara kadhaa Mwanasheria Mkuu wa Serikali haram Hamza Johari amekuwa akisikika akisema kwamba wao hawataki kumnyonga Lissu ila lazima wamfunge ili wapate muda wa kujipanga kuisambaratisha CHADEMA kwa kutumia baadhi ya watu wa ndani ya Chadema kuleta vurugu kabla ya Uchaguzi wa 2030 kwasababu wanataka Nduli aendelee hadi 2035 so wanahofia sana nguvu ya CHADEMA.
Lakini pia kwa mujibu wa Hamza Johari akiwa anazungumza na mmoja wa Viongozi wa dini alimuhakikishia huyo Kiongozi wa dini kwamba baada ya kumfunga Mhe. Lissu kiongozi mwingine wa CHADEMA ambae wanapanga kumfunga ni John Heche na baadhi ya Viongozi wenye misimamo mikali na wameshampa maelekezo Jaji Lila kwamba kwenye report yake lazima ahakikishe lawama zote za Oktoba 29, 2025 anaiangushia Chadema kwamba wao ndo chanzo cha yote.
#FreeTunduLissu
Huyo ni saa mbovu ccm haramu anakushauri ewe Masaju asema kama unataka unuke kama mavi kwenye kesi ya @TunduALissu usikilize simu uwe kinyesi kama mwenzako Chande hivi sasa ni Chundu chundu
HUKUMU KWA HAKI
Si kunuka tu utapata adhabu kali pamoja na kizazi chako chote
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Hii ya KAHAMA imeniogopesha wanangu.
Naona mpaka Mh Heche kaona Awavulie kofia kwa hili nyomi.
Wakoloni weusi kupata robo ya hili nyomi kwanza lazima MASHULE yafungwe.
Watu wabebwe na kusombelewa kwenye maroli kama ng’ombe.
Mahospitalini VICHAA wabebwe wapelekwe mkutanoni.
Ila CHADEMA kujaza nyomi kama hili ni kugusa tuu mamae.
REPOST 200
#KatibaMpya #FreeTunduLissu
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎