@PresenterNoah Kinachomuweka Kante benchi sio uwezo ila ni falsafa za mwalimu tu kwa sasa ,si unakumbuka ile partnership ya Kante na Pogba naona mwalimu kashift uko kashatafta combo nyingine now
Hivi kaka unatambua Lavia akiwa Fit hata kwa asilimia 80 tu anakuwa ni miongoni mwa top3 midfield pale Uingereza , dk10 tu inatosha kutambua uwezo wake . Alafu kiubinadamu tu kaka huwezi kumshusha mtu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake kama majeraha "sio kwamba anapenda yamtokee
Unakuta mtu anashangilia kuuzwa kwa Santos wakati chelsea hatuna viungo
-Enzo akili yake haipo chelsea, anataka kuondoka na asepe tu๐ฎ
-Lavia ana miaka 3 hakuna game kawahi kucheza dk 70 zikafika
-Caicedo ndio kiungo pekee wa maana tuko nae but anazidiwa na majukumu
Ushubwada
@PresenterNoah Kwahiyo kaka Chelsea walimsajili Lavia bila kuona uwezo wake ๐ ndio unachomaanisha ? Walisajili tu au sio , au ndugu yangu wewe kutambua kipaji cha mtu ni hadi acheze mechi 100
@PresenterNoah Binafsi nimemind sana Santos kuuzwa ila sio kwa kuanza comparison hizo wakat Santos alikuwa Fit muda wote lakini nafasi hapati na ametaka kuondoka mwenyewe , Mount kwenda Man U vipi hukumind kaka na wakati alikuwa mchezaj wetu bora kabisa ? Dirisha bado hata halijafungwa unajudge
๐จ๐ฃ Egypt's Coach Hossam Hassan couldn't control himself after full-time:
"I will say what's on my mind regardless of the consequence, this was clearly a rigged match and the whole world saw it"
"And I want to say one more thing, if they want them [Argentina] to win so bad, why call everyone to come and participate?"
Portugal could have faced Ghana (RO32) and Iran (RO16) in the knockout stages but they could only defeat Uzbekistan in their group, but certain fans will say itโs rigged for Messi ๐ญ