6 days to go
Tunaendelea kuwahesabia siku hawa madhulmat na tunasema #FreeTunduLissu
Hatutaki vijisababu wala maneno mengi
Aachiwe mara moja
#FreeTunduLissuNow
Ukiwaonyesha hii clip ccm/machawa/ samia kwa namna wanavyotudanganya miaka mingi kuhusu umeme watakimbia hiyo ni AI.Ccm hawajawahi kuwa na nia njema ya kutatua changamoto ya umeme.Ukiwauliza sasa hivi nini tatizo kwenye umeme watakuwa mipango hata ya 2050
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara, John Heche amesema chama cha Mapinduzi kimezidi kuongeza maadui baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025 akitolea mfano wa kupotezwa kwa Humphrey Polepole pamoja na watu waliouawa wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliopita.
Heche ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime, akisisitiza umuhimu wa kuwa na mwelekeo sahihi zaidi badala ya kasi, akibainisha kuwa kasi haina maana yoyote ikiwa mtu umepoteza mwelekeo.
Amezungumzia pia matukio ya Utekeji, akimtaja aliyekuwa Balozi, Mbunge na Katibu wa Itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole na kusema kuwa familia za wote walioathirika na matukio hayo kwasasa wamegeuka kuwa maadui wa CCM na wafuasi wa Chadema.
Travel to Tanzania for your own risk, its not safe.
The president @SuluhuSamia kill the citizen to stay in power. Then few weeks ago Tanzania @tanpol announce about more than 150 terrorist where 20+ of them are already in Court.
#FreeTundulissu#NewConstitution#SamiaMustGo
Kiufundi, kurejesha ardhi ya malisho iliyochafuliwa na mafuta ghafi huchukua miongo kadhaa, kipindi ambacho wafugaji watakuwa hawana maeneo mbadala ya kulisha wanyama wao kutokana na ufinyu wa ardhi nchini. #EACOPniTishio
Katika sayansi ya siasa, mifumo ya kiutawala inayokataa kujirekebisha kupitia matakwa ya umma hukabiliwa na mdororo wa kitaasisi (institutional decay). Kudai Katiba Mpya ni njia salama na ya kisheria ya kuzuia mdororo huo na kuhakikisha ustahimilivu wa taifa. #KatibaMpya
Kiuchumi na kisheria, Katiba Mpya inalenga kuimarisha mazingira ya uwekezaji kwa kudhibiti rushwa na kuongeza uwazi. Wananchi wanaodai katiba wanatafuta usalama wa kiuchumi wa taifa lao, jambo linalofanya harakati zao kuwa na manufaa makubwa kwa maendeleo. #KatibaMpya
BREAKING NEWS 🛑
Two people have been shot and wounded in Gem Ramula, Siaya County by William Ruto's killer militia (GSU officers) following a second attempt by Shanta Gold to do illegal displacement.
It's reported that the GSU officers are breaking into homesteads and forcefully evicting villagers from there ancestral lands despite a court order stopping the eviction.
Watoto na wanawake ndio waathirika wakuu wa uhamisho wa lazima unaosababishwa na EACOP. Kupoteza shule, vituo vya afya vya karibu na mifumo ya usaidizi wa jamii kunarudisha nyuma maendeleo ya kibinadamu. #EACOPniTishio