@IAMartin_ Jinamizi linalotumaliza waafrica ni ubinafsi mtu akishapata yeye hana haja na Jamii hata mkila nyasi wao kama viongozi wakiwa na maisha bora hakuna shida watampigia chapuo aongoze hata kufia kwenye Uraisi 😢😢😢
@kigogo2014 Taifa hili ni letu sote tulijenge kwa usawa na upendo tukikosana turejebishane hii sii sawa mtu akikosea unaanza kumlipizia kisasi hatutafika
@kigogo2014 Kaka nimekuwa mfuasi wako muda mrefu ila nashindwa umepatwa na nn kama wamekukodea si uwaambie wakuombe msamaha tu jamani, don't go this far bro, mtu akikosea arekebishwe tujenge Nchi kwa pamoja tafadhali.
@kigogo2014 Tanzania tukifanya hiv, tutakuwa wajinga na wapuuzi. Tutakuwa watu wasaulifu,yaani tumesahau tukio la 1998.
Hakuna sumu kubwa kama kupokea hawa watu ambao ni unvetted
@IamJongwe__ @masoudkipanya Hakuna mtu anaunga mkono ushoga na ww unaeutaja Sana yawezekana kabisa unapumbaza watu wasijue kama ww ndivyo ulivyo,,, #FREEMBOWEHEISNOTATERRORIST
@MariaSTsehai Hivi watu wengine wamerogwa na mizimu nn? Kudai katiba mpya inahusishwa je na jinsia ya kiongozi? None sense kabisaaa,,, kwahiyo tusipomdai SSH katiba mpya 2025 Haji Manara akawa Rais tukidai tena katiba mpya mtakuja na hoja ya kuwa tunamuonea kisa ni albno sio?
Bwana Yesu nakutazama.Ninakuamini wewe.Nisaidie nisilalamike mbele za uso wako katika hali yoyote ile. Umesema hutaniacha na siku zote niutazame msalaba kama ngao na wokozi.Nautazama msalaba mimi na uso wako usiniondokee kunitazama na hasira yako isinifike..
TUKUTANE PARADISO