$129k cashout offer, one game to go!
Flex 1 and flex 2 already paid out on STAKEβ β β β β
$75k already in the bag β β β
Congrats in advance guys, we deserve this. πͺπ»
@saynomorebruh@Elisalinah31 Huwezi kusema ni kanisa lile kama madhabahuni mtu anavaa jeans na raba...ule ni ukumbi na si kanisa. Kanisa lina miiko yake na utaratibu
Mkaguzi na Madhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Professa Mussa Assad amesema ni muhimu kuwepo na ukaguzi na ufuatiliaji wa maisha ya wanasiasa au viongozi wanaoteuliwa kwa nafasi mbalimbali na tathmini iwe inafanyika mara kwa mara sio kwa viongozi tu bali hata ndugu na jamaa zao.
Prof. Assad amesema hayo alipohojiwa na Clouds TV na kueleza kuwa hilo litatoa taswira juu ya uadilifu na kujulikana kwa uhalali wa umiliki wa mali hizo wakati wa utendaji wa viongozi hao.
Ameongeza kuwa yupo kijana mmoja anamfahamu ni Waziri kwa kipindi cha miaka mitano anamiliki magari ya kifahari ikiwemo Landcruiser LC 300 matatu, Range Rover na maisha ya gharama anayoishi kiongozi huyo jambo ambalo linaleta maswali juu ya namna alivyopata mali hizo kwa miaka mitano.