Kwa hii picha unaweza pata hata captions 100 ila mi naanza hizi 5 kwanza!
โข Know your limits, we all have them na sio fursa zote zinazopaswa kuchukuliwa, zingine ni mitego
Friday Night Live (FNL) nilijiuliza kutokuwepo ila now inajieleza! Kwa usiku sijui wataleta mpinzani gani hata kama kwa sasa sifatilii sana haya mambo! Ni kama XXL kwa mchana
Nimekaa nikafikiria : Big Petr, JT , Ricky , Gallas, Ashy, The Bison , Obi , Ballack, Jean Claude, Lamps , Didi , Anelka, Malouda my word . Angalia hizo species ,The Powerhouses .!Now ukiitazama vitoto vingi unaweza kuwa bully easily.
Ila naelewa hizo Powerhouse now kuzipata mh
Bora angeanza kucheza Chelsea : maana huwa akianza yeye akishinda tu ujue na sisi tunashinda ,akibomolewa na sisi hivyo hivyo . Kama mapacha . Sasa leo tunaanza sisi . Nilikuwa najiamini,ghafla nimeanza kuogopa.Hawa majaa walitushona mara nne msimu uliopita.Ishakuwa Bogey Team๐
Chelsea have beaten Champions League, Europa League, English, Spanish, and French league champions but they couldn't beat Arsenal because Arsenal havenโt won anything.
Hawa watu bana, ni wasanii ila bado hawajui hata kuigiza. Ni mafunzo tu ya darasani hawaonyeshi hata extra skillz. Ni rahisi kujua director na staring wa move. ๐คฆ๐พโโ๏ธ
Siku hizi wengi wao hawa ๐ฉ๐ฉ wamebadilisha majina, hawasemi wanatafuta wenye hela, wanasema wanataka wanaowapa sapoti. ๐๐
Kupata hela nyingi inaitwa SAPOTI
Narudia tena, ukiona umeenda sehemu na mtu wako ila unatumia nguvu na muda mwingi kumlinda basi jua sio level/type yako. Wa kwako hutumii nguvu ya ziada kupambana kumlinda kwa wanaomtolea macho. ๐