serikali haina mamlaka ya kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, na katazo la katambi halina msingi wowote wa kikatiba au kisheria; ni katazo batili.
🎥: @BoniphaceEric:
Wakuu kwa uhitaji wa huduma zifuatazo:- Professional business consulting,accounting & financial services, marketing,tax solutions, and strategic business advisory to help your business grow, adapt and succeed nicheck dm au email: [email protected]#MtuKaziSinaKazi
Billionaire Mo Ibrahim criticizes “inappropriate and unacceptable” Tanzanian election as President Samia Suluhu Hassan is sworn in.
He calls out autocratic traits that many African leaders would never admit to publicly
#CNNGlobalPerspectives
Kenyans SHOCKED after UN reveals they’ll Spend 44 BILLION Shillings to UPGRADE Their Nairobi Office. Confirmation that Kenya is New Center of the World? We are now in a NEW Dispensation of the Ancient Order. Everything within our Atmosphere will be under our Rulership! IYKYK
🚨 Multiple news outlets have confirmed that Liverpool striker Diogo Jota has tragically died in a car crash alongside his brother.
Jota got married just 5 days ago. 💔💔
Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia
1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende
. ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.
Uwe na siku njema