Unalipa ada kwa wakati
Unajinyima ili mtoto wako asome shule nzuri
Unaamini kuwa kila kitu kinaenda sawa
Kisha ripoti ya matokeo inafika
Na alama hazilingani na gharama na juhudi ulizowekeza
Swali si kiasi gani cha fedha umetumia
Swali ni: Ni nini hasa kinachomzuia mtoto wako ku
@M_Mafuru Upendo wa kweli hauna mipaka. Unaweza kusaidia mtu usiyemjua, mtu ambaye hawezi kukulipa. Lakini kumbuka: Unapomtendea mmoja wa hawa wadogo, unamtendea Yesu!
Katika dunia hii yenye ubinafsi, Mungu anatafuta watu watakaosema,"Bwana,nitakuwa mkono wako, nitakuwa sauti yako.