@ZakayoMmbaga Daah ! Kwanza Pole! Na mungu akubariki kwa kuweza kugusa Maisha ya Huyu Dada. She is proud of You for sure! Life lina Mambo Mengi ya Kikatili. Tupambane kupingana na haya.
@kalegamyeh Pole sana Kaka..Vifo vingi Tanzania ni Mismanagement wala Sio Mungu. Kila siku Naomba kuwe na real implรฉmentation of Medical Legal, Tukianza kufungana.Tutonyooka,Tuache mambo ya " Mungu Kampenda zaidi" kwa uzembe wa watu Fulani.