#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 423
Upande wa Jamhuri wanaendelea kumfanyia cross examination Makam Mwenyekiti Bara John Heche
Heche: INEC sio huru, Tume ambayo inateuliwa na mgombea wa CCM inakuwaje huru? Nilisema Tume Mpya itakayoundwa na iwe huru, usije na majibu yako
Katuga: Nani anayepanga majimbo ya uchaguzi?
Heche: Mchakato unaanza kwenye halmashauri.
Katuga: Soma Ibara ya 75(3)?
Heche: Anasoma.
Katuga: Wasomee majaji Ibara ya 75(4)?
Heche: Anasoma kuwa ni Tume inaweza kupanga majimbo kulingana na idadi ya watu.
Katuga: Ni kweli kwenye hizo ibara Tume inaweza kugawanya majimbo kwa kuzingatia idadi ya watu?
Heche: Hicho ni mojawapo tu ya kigezo.
Katuga: Ni Haki au sio Haki kwa mtu yeyote aliyesikiliza Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutafsiri hotuba ya Mwenyekiti?
Heche: Sijui
Katuga: Ni haki au sio haki kwa mtu yeyote aliyehamasika na Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutumia njia yoyote kuuvuruga uchaguzi?
Heche: Sijui
Katuga: Ni haki au sio haki kwa mtu yeyote aliyesikiliza hotubu ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kukinukisha?
Heche: Sijui
Katuga: Kuchoma vituo vya kupigia kura na vifaa vyake ni njia ya kuzuia uchaguzi?
Heche: Sio njia
Katuga: Waambie majaji kuchoma mwendokasi, vituo vya mafuta kunaweza kuvunja amani
Heche: Sijui
Katuga: Waambie Majaji siku ya kupiga kura kama kuna fujo ambayo haiwezi kuzuiwa inaweza kuzuia upigaji kura?
Heche: sijui
Katuga: Waambie majaji kama kukata watu vidole waliojitolea kupiga kura kunaweza kuwatisha watu wengine wasiende kupiga kura
Heche: Sijui
Katuga: Halafu wewe unajiita shahidi?
Heche: Ndio ni shahidi, Wewe ni wakili muongo unayebambikia watu kesi za uwongo.
Katuga: Uliwaeleza majaji katika ushahidi wako kuwa mtazuia uchaguzi kwa njia gani?
Heche: Ndio, nilieleza kuwa tutatembelea viongozi wa dini.
Katuga: Kuzuia uachaguzi unakutana na viongozi wa dini?
Heche: Kwani uchaguzi unafanywa na mizimu? Si watu?
Leo Katuga anakula za uso sana.๐๐๐
Katuga: Ni kweli au sio kweli kuwa kuchoma vituo vya kura ndio tafsiri ya uasi?
Heche: Sio kweli
Katuga: Uasi maana yake nini?
Heche: kupinga mifumo kandamizi, sheria mbovu na maovu yote katika nchi
Katuga: Vituo vya kupigia kura vinasimamiwa na nani?
Heche: Tume ya Uchaguzi
Katuga: Jibu tena ,
Heche: Nimeshasema, nimeshasema, nimeshasema.
Jaji Ndunguru: Tumemsikia shahidi akisema kuwa ni Tume ya Uchaguzi
Heche: Waheshimiwa Majaji ni ukorofi wa Katuga tu ili mnione mbaya lakini mimi sitakubali.
Hapa hadi Majaji wamecheka๐๐๐
Katuga: Ulisema jana hujawahi kuitwa kwenye Tume ya Jaji Chande?
Heche: Sikuwahi kuitwa
Katuga: Kuhusu chama chako kuitwa ulisema pia hamkuitwa?
Heche: Nilisema sina kumbukumbu kuhusu kiongozi wala chama kuitwa.
Katuga: Ni sahihi kuwa taarifa ya watu kuitwa ilichapishwa kwenye gazeti la Serikali?
Heche: Sijui
Katuga: Uliisikia Tume ikisema kuwa kuna watu wanawazuia wengine wasiende kusema walichoona siku ya Oktoba 29?
Heche: Sijui
Katuga: Unajua kuwa Tume ilikuita ukakataa kwenda?
Heche: Sikuwahi kuitwa.
Katuga: Ni sahihi kuwa Tume ilitangaza katika mbao mbalimbali kuita watu wakatoe ushahidi wa kile wanachokijua kuhusu matukio ya Oktoba 29?
Heche: Sijui
Katuga: Unaishi Tanzania au Kenya
Heche: Tanzania
Katuga: Kwa ridhaa ya Mahakama naomba nimuonyeshe shahidi nyaraka / barua alizoandikiwa na Tume.
Jaji Ndunguru: Sawa
Katuga: Hiyo ni nakala ya nini?
Heche: Ni barua
Katuga: Imeandikwa jina la nani?
Heche: John Wegesa Heche
Katuga: Kuna Makamu wangapi wenyeviti wa Chadema wenye jija hilo?
Heche: Yupo Mmoja tu anaitwa John Wegesa Heche
Katuga: Sanduku la Posta 31191 Dar es Salaam ni sanduku la nani?
Heche: Ni la Chadema
Katuga: Hiyo barua ni ya tarehe gan?
Hache: 21 December 2025
Katuga: Barua imesainiwa na nani?
Heche: Honorious J. Njole
Part 424 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
๐ New to Python? Start here!
Whether you're teaching yourself, following a course, or just curious about coding, this beginner-friendly book is for you.
- Clear explanations
Learn Python step-by-step through hands-on examples and exercises that actually make sense.
Klabu ya Bayern Munich imemuacha mshambuliaji Sadio Mane nje ya kikosi cha klabu hiyo kitakachocheza dhidi ya Hoffenheim siku ya Jumamosi kutokana na utovu wa nidhamu.
Mane aliripotiwa kumpiga usoni winga Leroy Sane kufuatia kichapo cha 3-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya Jumanne dhidi ya Manchester City hali iliyopelekea wawili hao kutenganishwa na wenzao baada ya ugomvi huo kwenye Uwanja wa Etihad.
Sambamba na kuachwa nje ya kikosi hicho klabu ya Bayern Munich imethibitisha nyota huyo wa zamani wa Liverpool atatozwa faini kutokana na utovu huo wa nidhamu.
Ripoti zinadai Mwanasoka huyo bora wa mwaka mara mara mbili wa Afrika alilalamikia jinsi Sane alivyozungumza naye baada ya kichapo hicho.
Mane na Sane bado hawajazungumza lolote kufuatia mzozo huo.
#KitengeSports
Kama unaamini kuwa @kigogo2014 ndiye mwanaharakati bora na mwenye ushawishi mkubwa fanya Ku-Retweet ๐ mpaka imfikie ili tuendelee kuwa pamoja ๐๐ช
Imechukua muda kujua kwamba Twitter wamebadili Retweet button colour from Blue to Green, kuonyesha kuwa wanaunga mkono kinachoendelea nchini Nigeria ๐ณ๐ฌ #June12thProtest
Leo nimepokea taarifa za mwaka wa Fedha 2019/2020 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Nimeagiza kufanyiwa kazi na kuchukuliwa hatua mara moja kwa ushauri na dosari zote zilizoainishwa katika taarifa hizo.