#NewProfilePic Wakati wewe upo busy kupambana na Maisha yako, kuna watu wapo Busy kupambana na maisha yako kuhakikisha unaanguka
NB: Ashukuriwe Mungu anaye tupigania, maana wenyewe hatuwezi!
#NewProfilePic Usivunje Mahusiano Kwa Makosa Madogo Madogo Hakuna Palipo Salama, Hakuna Pasipo Nyesha, Hakuna Pasipo Vuja Kila Mtu Ana Kiangazi Na Masika Yake. Mwisho Wa Siku UVUMILIVU ni Bora Kuliko UKAMILIFU.