Kwanini sisi anae tufungiaga taa za viwanja ni nani? Akijulikana ahojiwe vizuri, kwanini kunakua na giza maeneo mengine ya uwanja? Azam complex, Amaani Znz na Mkapa zimefungwa taa gani kwani? Maana hivyo ndio viwanja pekee ambavyo taa ziko sawa. Tuwe serious na miundombinu.