@jemedarisaid@CAF_Online Kati ya AMANI na HAKI bora nini?acha kutukana watu wewe kama angetoa penat amani ingekosekana kwenye mji wa Morocco kwaiyo Bora amani
@Sisimizi3 Wewe kwani ni nani kwenye hii nchi au ulishakuwa kuwa nani na cv yako ikoje ... Warioba tayari cv yake kwenye hii nchi inajieleza kwaiyo hapaswi kujibiwa na watu wasio na cv yeyote