"Mifano aliyoitoa Rais Samia kuhusu maandamano na mikutano akiitaja nchi ya Marekani si ya kweli, tumeona Trump baada ya kushindwa anaendelea na mikutano yake lakini pia tumeona maandamano katika sehemu kubwa ya Marekani katika kampeni ya #BlackLivesMatter " @jjmnyika
Rais anaposema eti uchaguzi ukiisha nje watu wanakaa kujenga nchi, eti hata maandamano huwa ni kwaajili ya maji au umeme!!! Huu ni uongo wa wazi kwanza nchi gani iliyoendelea inatatizo maji au umeme. Lakini anasahau maandamano ya Blacklives matter yalikua yandai haki au hakuona?
Ukitaka kujua uko huru kiasi gani kwenye maisha yako, na akina nani wanamiliki sehemu ya uhuru wako huo, jaribu kuchukua maamuzi ya kuifurahisha nafsi yako bila kujali athari za maamuzi yako hayo kwa mtu mwingine yoyote.