Kamati Kuu ya Chama iliyokutana katika kikao chake maalum cha siku mbili kuanzia tarehe 11 mpaka 12 Machi 2025 imefanya uteuzi wa Wakurugenzi kwa mujibu wa ibara ya 7.7.16 (b) na Wataalamu mbalimbali wa Makao Makuu ya Chama kwa mujibu wa ibara ya 7.7.17 (e) ya Katiba ya Chama
Mwenyekiti wa Chama @ChademaTz Taifa Mh Tundu Lissu @TunduALissu, amesafiri kikazi nchini Angola, Mh Lissu anatarajiwa kurejea nchi March 21. 2025.
#noreformsnoelection
Matukio katika picha, siku ya kwanza ya warsha ya mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine.
Mwendeshaji
Julius Mwita
Wakufunzi
1. Tundu Lissu - Mwenyekiti Taifa
2. Profesa Mussa Assad - Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG)
3. Philbert Kumu - Muhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es salam.
Leo tarehe 12 Machi 2025 Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu amefungua warsha ya Mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine.
Leo tarehe 12 Machi 2025 aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine.

Pambalu Pambalu Pambalu!
Mkutano Mkuu wa @bavicha_taifa ukimshangilia Mkit Mstaafu wa Vijana baada ya Hotuba ya Nguvu ya kukemea Rushwa ndani ya Uchaguzi w Baraza.
Leo @John_Pambalu kaaminiwa na kuteuliwa Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mafunzo.
We are very Happy and Proud of Him.✊🏾