Afrika , pamoja na Nchi zilizoko katika Kamati ya Urithi wa Dunia, katika Kikao cha #UNESCO, nchini #Bahrain, kimekubali uamuzi wa #Tanzania wa kujenga Bwawa la Kufua Umeme wa Nguvu za Maji (HEP) wa #StieglersGorge. "Come Rain, Come Sunshine," tutalijenga ....
Rais Magufuli amesema Serikali imeamua kutowazuia watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa sababu ya ugonjwa wa corona kwakutambua madhara yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivyo ndani ya nchi na kwa nchi 8 zinazotegemea huduma na bidhaa kupitia Tanzania #MwananchiDigital
@geline_gee@MariaSTsehai @willynationtz @fatma_karume @Leyenda_vivien @Vicenzamaria@TitoMagoti@Kiganyi_ Hako kabinti nako kanaonekana kana kiburi. Baada ya kutulizwa ya tumboni, kalipata wapi ujasiri wa kumfuata tena? Wengine walipotezea coz inaonyesha wazi nani alikuwa na tatizo - huyo mdada kiburi. Wadada mjifunze kuheshimu nguvu ya mwanaume naye atakurudishia heshima yako.
@zittokabwe yuko bize anatufundisha Sera za #KazinaBata kana kwamba Watanzania wana maisha mazuri kihivyo. Utamwambiaje masikini wa #Kigoma ale bata wakati hata mlo wenyewe ni mmoja kwa siku? Huyu jamaa anawapigania akina nani ili wale bata kama umasikini Kigoma ni asilimia 49%?
@ngurumo Hii taarifa ni upotoshaji mtupu, 2011 JK alitoa Nishani ya mwenge wa uhuru daraja la 4 kwa wananchi waliosaidia upatikanaji wa uhuru ambamo kapteni Tony Makinda alipewa nishani hiyo. Unachokifanya Ngurumo ni upotoshaji, na tulivyo wavivu tunachukua tu taarifa bila kufatilia
Floyd Mayweather (41) ametumia dk 2 na sekunde 19 kumpiga kwa knockout (KO) Tenshin Nasukawa (20) ktk raundi ya kwanza leo Dec 31 mjini Tokyo Japan, ikumbukwe kuwa Mayweather amelipwa zaidi ya Tsh. Bilioni 20 na Milioni 691 kupigana na Nasukawa.#MillardAyoUPDATES (📹RIZIN.14)
#MahafaliJeshilaPolisi Jeshi la Polisi kasimamieni nidhamu na mzingatie majukumu yenu ili chaguzi zijazo zimalizike salama na tukiwa wamoja @MagufuliJP
Kuna watu walituaminisha hatununui ndege, ziliponunuliwa walienda kuzikwamisha zisije, zilipokuja wakasema ni mbovu, zikaongezeka, ikaja na Boeing, na sasa Airbus. Ajabu sana wanaendelea kuzipanda hizo mbovu.. Sasahivi wameacha kuzizungumzia. Kweli Hapa Kazi Tu #MATAGA
Rasmi:Ungana nasi kuipokea ndege ya kwanza kununuliwa na Serikali ya Afrika kwa toleo la Airbus A220-300. Ni Tanzania pekee. Ngorongoro-Hapa Kazi Tu itawasili nchini Jumapili hii na siku chache baadaye ndege nyingine kama hiyo DODOMA-Hapa Kazi Tu itawasili.
#TUNATEKELEZA2018
Leo SINGIDA,
Mhe Rais Magufuli amevuka malengo ya ILANI, mfano UMEME, AFYA, MAJI, ELIMU, nk. UMEME, tunaitafuta 50% Kuna nchi kubwa tu hata 10% Bado. *MHE RAIS PONGEZI SANA, 2020 HAKUNA HATA WA KUSOMA NAMBA MAANA GARI LAKO LITAKUWA MBALI SANA NA ANAYETUFUATIA*
Mhe. Rais Magufuli akutana na Mhe. Rais Yoweri Museveni na Mhe. Rais Uhuru Kenyatta Jijini Arusha. Viongozi hawa wamehudhuria Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ktk ukumbi wa AICC.
Mdau umeua. Hawa ndio wanasiasa wetu. Wanaongea watakavyo na kufanya watakavyo kwa sababu hawawezi kuhukumiwa kwa maneno yao. Kwa Nchi nyingine statement kama hizo zitaku-haunt maisha yako yote ya kisiasa.
That's is fantastic of you Dr. Bashiru. Na uhakika ujumbe sasa umekuwa delivered na hii ni kumaanisha kuwa, @BernardMembe amejitakia mwenyewe kuwa outcast ndani ya #CCMYaMagufuli.
Dkt. Bashiru Ally amemtaka aliyekuwa mgombea uteuzi wa kugombea kiti cha urais kwa tiketi ya @ccm_tanzania mwaka 2015 Bernard Membe ajitokeze ili ajibu tetesi zinazodai Membe anafanya vikao kutafuta kura za 2020 pamoja na kuwa na mipango ya kumkwamisha rais @MagufuliJP
@yonapavea @martindennoo@WillyMwalimu@freemanmbowetz Aaahhh, hii picha inafurahisha sana. Halafu hawa hawa wanataka kuuaminisha umma kuwa wao wakiongoza Nchi watakuwa serious na maendeleo, kweli? Yaani nao wanataka kujilinfanisha kabisa na @MagufuliJP ama wivu tu?