@Nnauye_Nape NILITAKA NIKUANDIKIE UJUMBE MMOJA HAPA,LAKINI HIZI COMMENT KAMA HUNA MATATIZO YA AKILI NA UPO TIMAMU KABISA BASI ZINAWEZA KUKUPA JIBU LA AKILI MAWAZO NA FIKRA ZA MTANZANIA WA SASA,...
@zittokabwe@Africa_Archives UTAKUFA UMEACHA MIMENO YAKO WAZI HIYO INZI WAJAE MDOMONI,...NA MATATESEKA SANA NA KIVULI CHAKE,...SISI NDIO WENYE NCHI TULIMUELEWA NA ALIELEWA,SA WE UNAEONA RUBBISH NANI ANAKUELEWA NA KUKUPENDA LABDA,MAANA YA UONGOZI NI PAMOJA NA KUKUBALIKA,SA NAONA MNAJULAZIMISHA KUONGOZA WATU๐
@Nnauye_Nape WEWE NAPE NI MPUMBAVU SANA NA HIZI KAULI ZAKO,SIJUI LUMUMBA PALE WAKINA BALOZI MSHANA WALIKUWA WANAKUFUNDISHA NINI??...UNAONGEAGA UTUMBO SANA NA SASA MNAJIDHIHIRISHA WAZI,...MUDA UTAONGEA NA HICHO CHA WENYEWE,
@JMakamba Wewe ni waziri au mzee wa MIPASHO,...nakushangaa sana toka umeteuliwa unaleta story nyingi kuliko KAZI,..ikikupendeza TUNAOMBA uachie ngazi,huo ujinga tuliuacha na kuusahau miaka sita iliyopita,...na pia tunapenda kukupa taadhari,msijidanganye safari hii,TUNAOMBA UKIANGALIE
Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe wamefukuzwa kazi kwa kosa la kuvuka mpaka na kuingia nchini Malawi wakiwa na mavazi ya kijeshi na silaha za moto kinyume na taratibu za kijeshi.
@MadiniTanzania @Tumeyamadini @wizara_afyatz@maelezonews Nzuri sana,ila ninavyowajua hawa binadamu wa MIGODINI watakimbia sana,...ANZENI NA ELIMU KWANZA TENA YA KUWABEMBELEZA
@kigogo2014@HermanRaphael7 Ishu BINAFSI sana,...huna ISHU nyimbo siku hizi,unaparamia ishu za kijinga kijinga,..masex group yanasaidia nini TAIFA hilo,..hata mwenyekiti wa kudumu analo group sex lake,...tushindane KUYATOA live??
@kigogo2014@damas_buretta ACHA UFALA,ALICHOONGEA KINAELEWEKA,SEMA MNAPENDA SANA KUJIONA MNAJUA KILA KITU,...KUMBUKA ALIKUWA ANAONGEA NA WAZAZI MASIKINI WANAOWASIKILIZA VIONGOZI WENYE UWEZO,...CANADA ZILIFUTWA NA JPM LKN CANADA ANAZOZUNGUMZIA PIA ZIPO HAPA NCHINI,...KAA KWA KUTULIA
@kigogo2014 Hata sisi wangoni ni wa south africa,SARUNGI mkenya,...sasa nahisi umeishiwa VITAMIN siku hizi toka mzee afariki,...bado hamuelewi mfanye nini?