MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKIKIZA KESI DHIDI YA MHE. LISSU, June 11,2026:
Mahakama ya Rufaa itasikiliza maombi ya Mkurugenzi wa mashitaka nchini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Antipas Lissu Alhamisi ya tarehe 11 June, 2026.
Haya ni yale maombi ya Jamhuri ambayo waliyapeleka baada ya Mahakama kuu kukubali pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya maombi ya Serikali kuraka kuongeza maelezo ya nyongeza ya shahidi.
Jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufaa wamepangwa ambao ni, Mhe Mwalija, Mhe Jaji Muruke na Mhe Jaji Khamisi.
Hakikisha ujumbe huu umewafikia kwa wingi marafiki wa Demokrasia na Haki.
@ShundoGaston,
Mkurungenzi wa Sheria wa CHADEMA HQ
🚨 All eyes on Court of Appeal Justices Zainab Muruke & Augustine Mwarija (plus 3rd judge).⚖️🚨 @judiciarytz
On 11 June 2026, they hear DPP’s revision/appeal in Tundu Lissu’s treason case.
What we know: On 10 March 2026, these same 2 judges quashed a 20-year heroin sentence (2.188kg at JNIA) for American Lionel Rayford, citing lack of DPP consent & ordered immediate release. https://t.co/9Kz3tcPrui
Under Tanzania law (Appellate Jurisdiction Act & Court of Appeal Rules), expect a focused ruling on procedural points raised in the revision. Judgments often delivered same day or within weeks after hearing. Justice must be seen to be done.
Tanzania is watching. #TunduLissu #JusticeForLissu
"Hata askari haruhusiwi kutekeleza amri isiyo halali ambayo inapelekea kukinzana na katiba" Jaji Mstaafu Prof. John Ruhangisa.
Amesema hayo wakati wa mahojiano maalum ya kipindi cha #KatibaKitaa jijini Arusha.
Kutazama mahojiano kamili tembelea Youtube ya Wakili TV.
Moja ya kitu kinaninyima usingizi recently ni hili swala la wanaharakati kuwa wanalipwa!! (Kama ni kweli)🤔
Hizo taasisi au watu binafsi wanaolipa wanaharakati, huwa wanatazama vigezo gani kukulipa?
Influence? au Numbers (Followers)
au uwezo wa kuongea na kuandika au engagement ya social media au nini?
Binafsi nimeanza hii course ya harakati tokea siku namaliza form six na kutoa wimbo wangu wa kwanza Tanzania (2007) nikiwa very young!
Hadi leo nina Teremsha bunduki 2026!
Miaka 19 kwenye hizi harakati
NA SIJAWAHI KUPEWA HATA SHING 10 TOKA KWENYE HIZO TAASISI!!
WALA KULIPWA NA MTU BINAFSI ILI NIFANYE HIKI NINACHOKIFANYA!!
Na kuna muda unakuwa na uhitaji haswa, tena sometimes ni uhitaji wa kufanya projects hizi hizi za kusaidia hizi harakati….. you just end up using your own pocket money!!
Kwenye hizi harakati nakutana na challenge nyingi, nakosa opportunities na michongo kwasababu naonekana niko against na gavoo na kuna muda napoteza hata kidogo nilichobakiza!!
Nabaki empty hadi familia inakwambia si utemane na hizo mbanga……nawajibu I WAS BORN TO DO THIS!!
Ni kama roho/nafsi inakataa ku-give up!!
Tunafanya haya kwa passion,
kuna a driving force tu inatusukuma kutetea, kukemea, kushauri na kupaza sauti tunapoona haki inakosekana, maendeleo hakuna, rushwa na ufisadi kwa viongozi vinakithiri, umasikini unazidi kwetu sisi raia, uongozi na utawala mbovu, shida za ajira na miundo mbinu, watu kutekwa, kufungwa na kuuliwa bila hatia na kucreate awareness kwa raia kuhusu issue za kisiasa na kijamii etc.
Nikisikia mtu anasema kuyafanya hayo ni unalipwa…..nawaza nakosa majibu!!
Wanatumia vigezo gani kukulipa?
Hebu mtu anieleweshe pengine napishanaga na gari la mshahara!!
Followers ninao (1.3M) influence pia si haba nikitoa miwa inapokelewa mtaani!! MBONA MIMI SILIPWI?
Nways tusiache hizi harakati hata kama hazitupi pesa kwa sasa, faida yake mbeleni ni kubwa zaidi kwa nchi nzima na vizazi vijavyo!!
Kama nimeandika kwa hisia sana ee?😁
@Roma_Mkatoliki Ukifanya kwa kulipwa huwezi ku sustain wala kuwa na consistency ni vile tu kuna watu wamekubali kuwa upande wa shetani na wanataka kuvuta wengine. Siamini kama kuna kulipwa kwenye harakati. We chapa kazi raia wanaona na watakulipa wao.
Again, I am not loud. Ni mpole tu. Yet I am deeply rooted in humanity, human rights, and justice-moving low-key, making a difference in much louder spaces. And when I gave my word that I would continue pushing for justice, I meant it.
The work continues. You saw a major development last week🇹🇿, and soon we shall have more updates. Yaani, si mnaona kinawaka? ⏰next week tunaongeza🙏
Now you see and hear the tone is shifting and the conversation is changing. The pressure for accountability is building.
We are not done yet. Keep watching this space.
Justice. Nothing but justice.
Oh… and let’s not lose sight of Tundu Lissu. Freedom, justice, and accountability still matter. Again, it’s countdown ⏰
For over 20 years, I have promoted Tanzania using my own time, my own resources, and yes-my own money. Yaani, serious resources. Just go back and do the research.
Long before it was popular to do charity work🇹🇿, I was speaking about HIV/AIDS and helping fight the stigma surrounding it. (Sijui ndiyo mnaita wanaharakati.) I used earnings from my modeling career then to support causes I believed in over two decades ago. I started an organization in Germany and later expanded the work to the United States-using my own resources, hoping others who care about humanity would join the journey.
I spent years promoting Tanzania internationally. Yaani 2023 nilikuwa Tanzania using $25,000 creating a documentary to highlight Tanzania positively (yes I have all the receipts and no one paid me) I have supported victims’ families-hundreds of them quietly, without publicizing names, but yes, I have receipts. I have supported democracy advocates and ordinary people who simply needed help. Sometimes that even meant paying for something as simple as communication tools so their voices could be heard. Hata blue ticks hapa X, yes, I paid for a few. Latest two days ago I sent funds…tena wengi walishamshau Akwilina, hembu msalimieni mama yake muulizeni salamu za kumsapoti za mwisho kutoka marekani? Tanzania government never cared, sadly.
Nobody paid me to promote Tanzania. Never…so, Nobody paid me to advocate for democracy or human rights either…mazuri ni Mungu anayabariki.
Nobody paid me to stand for human rights.
What confuses me is that some people have become so accustomed to a system where everything has a price that they struggle to understand that some people do good simply because it is the right thing to do. Jamani-fanyeni-the right thing.
These are the same people who think advocacy must be purchased because they cannot imagine serving humanity without expecting something in return. Even if that’s not for me currently -maybe some people yes are supported because their governments pushed them to asylum or where they’ll feel safe just for fighting for what right- then what’s wrong with that? Yaani hao wezi wa mailiasil ya taifa au wanaoipigana kufanya mema?
For me…not every act of service comes with a paycheck. But I support also those who will evolve for doing good so they can keep doing the good in environment that threaten them or don’t acknowledge their input in ways it will sustain their advocacy/contribution.
Not every voice is for sale.
Not every effort is sponsored.
Some of us are guided by conscience, faith, humanity, and a commitment to justice. I follow my deep Christian faith.
If someone pays, oh let me know please as I have plenty of receipts that could come in very handy toward my children’s college expenses. My children are working hard to earn their place in the world while their mother keeps spending money on humanity. Go figure. So sign me for refunds for humanity just so I can see some of my funds refunded for my kids sake or so I can support more causes even more.
.@DavidHundeyin's film isn't a critique of propaganda—it functions as propaganda itself: recasting #Tanzania's election massacre as foreign intrigue, burying evidence of state repression, killings, disappearances, and gaslighting the victims. My analysis: https://t.co/ivzFhzC1uA
Watanzania, Wauwaji wameaanza kampeni kubwa ya kuwasema Wamarekani ili wakae pembeni watuache Watanzania peke yetu ili wao waendelee kutupiga risasi na kututeka na Samia Suluhu aendelee kushikilia nchi illegally.
Sasa tusikubali, lazma na sisi wananchi tuanze kampeni kabambe ya kumuomba @POTUS atusaidie…. Watanzania Trump ndio nafasi yetu ya mwisho kupata haki bila kuendelea kupigwa risasi na CCM.
Wabunge haram na bosi wao wanajua Wamarekani na @realDonaldTrump wakichukua hatua kwenye issue ya October 29 basi haki itapatikana Tanzania, na haki ikipatikana Tanzania CCM hawana uhakika wa madaraka, hii ndio sababu wanapambana juu chini tusipate msaada wa nje. Sasa tusikubali.
@mangekimambi You nailed it sister. Yaani umemaliza kabisaaaaaa. Kwa sasa CDM inamuhitaji kila mwenye ujasiri wa kuipiga ccm spana hadharani bila woga.
⚖️@TunduALissu is BACK in Court after months of waiting for the Prosecutor’s Appeal/Revision at the Court of Appeal!
Under Tanzania law (Criminal Procedure Act & Court of Appeal Rules).
⚖️Lissu: Can vigorously defend, file responses, argue fair trial rights & seek speedy hearing (Art. 107 Constitution).
⚖️Prosecutor (DPP): Must prove grounds for revision, present strong case without delays.
⚖️Judge: Must ensure justice, impartiality, no undue delay & rule fairly per evidence & law.
Justice now! @judiciarrytz
#TunduLissu #JusticeForLissu
Kuna watu wana kipaji cha hali ya juu kabisa cha kujitoa ufahamu, kuongea upupu mchana kweupe kwa kujiamini asilimia mia moja, wakidhani Watanzania wote ni mbumbumbu wa kuamini kila wanachosema. Ni mchanganyiko wa ubinafsi, majivuno na ego uliopitiliza unaowasukuma kupuuza ukweli, kujiona wao pekee ndio wenye akili na maarifa, na kudharau uwezo wa Watanzania wa kuchambua na kutambua ukweli. Bahati mbaya kwao, kujiamini kupita kiasi hakubadilishi uongo kuwa ukweli, wala hakuwafanyi wengine kuwa wajinga.