Ilikuwa ni mwaka 1998 tukiwa Shule ya Sekondari MSOLWA (Saint Gaspare Bertoni).
1. GOODLUCK MOTTA
2. JONAS NKYA
3. ALLAN SEMU
4. ALVIN MAJALIWA
5. PETER MADELEKA (Mwenye Tai)
6. MAZIKU SAGO
7. BONUS MTEME
@TunduALissu anatambua dhahiri kwamba @ChademaTz ipo kwenye death bed na hali yake ni mbaya sana. Anatamani kukiokoa chama na ana uwezo huo.
Kwa upande mwingine @freemanmbowetz ni nahodha aliyepo kwenye denial anayehitaji kulazimishwa kukubaliana na uhalisia kwa maslahi mapana ya chama.
Option ni moja, ama umchague Tundu Lissu uokoe chama (huku ukiumiza ego ya Mbowe) au umchague Mbowe uzike chama mazima.
Kwa bahati mbaya hakuna option nyingine kwa sasa, ni ama umchinjie Mbowe baharini au uichinjie CHADEMA baharini; you can’t save them both.
#TANZANIA: LISSU ANASIFA MUHIMU KWA MASLAHI YA CHADEMA NA TAIFA - BOB CHACHA WANGWE
Anaandika @BobWangwe Mkurugenzi wa Jukwaa la Katiba na Wakili msomi kwenye ukurasa wake wa X zamani Twitter kuhusu sifa alizonazo Tundu Lissu mgombea wa Uenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Wangwe achakuwa kumuunga mkono @TunduALissu
"Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa.
Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni wachache sana. Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema, haiwezi kuwa habari njema kwa Watawala. Huyu ndiye mtu sahihi. Tutakuwa na wakati mgumu sana katika kufanya siasa kama atashinda mtu mwingine zaidi ya Lissu. Mfano, ikitokea Mhe @freemanmbowetz ametetea kiti chake, kule Bungeni kesho kutwa kina Kibajaji wakipeleka Muswada wa kuondoa ukomo wa Urais tutakuwa na hoja gani za kutetea ukomo? Zipo hoja nyingi ambazo tutakosa uhalali wa kuzisemea. Tuwaunge mkono tunaowapenda lakini tufikirie pia uendelevu wa chama (sustainability).
Natambua uwezo na mchango mkubwa wa Mhe. Mbowe na nikiri tu tumekuwa na ukaribu kuliko ukaribu wangu na Mhe. Lissu lakini kwa maslahi mapana ya Chama ambacho amekijenga kwa gharama kubwa, naona Lissu anatosha kabisa kumpokea kijiti cha Uenyekiti hasa kwa wakati huu ambao tuko kwenye matatizo makubwa ya Kidemokrasia. Morali za watu wetu iko chini hasa baada ya kuumizwa na mifumo ya Uchaguzi. Kwa mazingira haya, mabadiliko ni muhimu ili kuirejesha. Lissu akishinda tutakuwa na timu kamili (Mwenyekiti Mbowe atabaki kuwa Mzee wa Chama ,mjumbe wa kudumu wa Kamati kuu ya Chama). Hivyo, bado atakuwa na nafasi ya kujenga Chama. Waliorudi nyuma kisiasa naamini watarudi kazini na wasioitakia mema CHADEMA wataona aibu sana.
Habari ya kuwa ‘neutral’ ni unafiki! Mimi niko na Lissu! Tufanye kampeni za Kistaarabu,wote hawa ni viongozi wetu ili tuendelee kutoa somo kuwa chama chetu ni cha Kidemokrasia" - Bob Chacha Wangwe, Wakili na Mkurugenzi wa Jukwaa la Katiba.
Tokea Lissu katoa msimamo wa kugombea na akatoa Hoja zake wale wote waliokuwa miamba wa kuchambua mambo kadhaa hapa X na wakawa against Lissu, pitia kila wanacho post alafu nenda kwenye replies, utaona kuwa wanachadema wamepata ventilation space, yaan magwiji wa X wamepoteana
… Mkutane na Mtoto wa Rais kwenye Function,
-Mbadlishane Namba
-Umueleze shida za Lissu
-Umpigie Lissu. function ina utulivu kiasi gani kupiga simu?
-Mwenye shida afuatwe Nyumbani
Mambo yote yawezekane kwa saa kadhaa, na mtu uliejinasibu ni High Profile?
SISI SIO WAJINGA BANA
Watu walisema Lissu muongo, Wenje hakumpeleka Abdul kwa Lissu. Leo Wenje amekiri alimpeleka Abdul kwa Lissu. Wenje anasema Abdul ni muungwa alikuwa anamsadia Lissu alipwe haki zake
SWALI: Kama nia ya Wenje na Abdul ilikuwa kumsaidia Lissu alipwe haki zake, kwa nini hajalipwa hadi leo?
Licha ya kutoa MCHANGO MKUBWA SANA katika MAENDELEO ya SIASA ZA MAGEUZI katika Kanda ya KASKAZINI, wewe GODBLESS JONATHAN LEMA, uliamua KUTOGOMBEA TENA nafasi ya UENYEKITI WA KANDA. Hongera sana kwa KUAMINI kuwa, “NA WENGINE WANAWEZA”. Chukua 🌷💐🌷 yako @godbless_lema
Chuma siku kikisema kinaongea na waandishi wa habari NCHI ITASIMAMA.
I cant wait.
Hawa ndio watu tunawataka “HAWANA BEI (HAWANA TIN NUMBER)”
Tukiongozwa na hawa jamaa, nchi itakuwa BIZE MWAKA MZIMA.😁✌🏾
Niweke wazi pasipo kupepesa macho. Sipendi UNAFIKI. Ninamsapoti Adv. TUNDU A. LISSU kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Lissu ni kiongozi wa mfano & watu wa aina yake hutokea kwa nadra sana. Niwasihi sana wapigakura, msifanye SIASA kwenye hili. Lissu ndiye mtu anafaa kwa sasa.
Wakina MONDI wataendelea kuchukua Front pages kila siku.
Wanufaika wa SIASA za kisenge wataendelea kutajirika kimya kimya.
Maskini wataendelea kuwa maskini mpaka wanakufa.
Hii ndio TANZANIA, kumbuka SIASA ndio inaweza kubadilisha yote haya, ila tumechagua hii njia ya KIBANAFSI NA KIKUMA KUONGOZA WATANZANIA.🚮
Kabla sijaanza Siku Kwa mikeka, naomba mnipe Repost 400 za kuanzia siku.
Hoja za MH hazihitaji kujielezea sana huku mitandaoni. Gonga Repost Iwafikie WAJUMBE wa mkutano mkuu CHADEMA kuwa mitaa inamtaka LISU.✅
RRPOST 400.🔥🔥
@TitoMagoti Kaka kuna watu tunaoheshimiana nao mda mrefu ila linapokuja suala la kusema ukweli, wanajitenga.
Hii nchi bado inachangamoto kubwa kuliko tunavyojidanganya.
Tuna idadi kubwa sana ya wajinga!