@fbuyobe Ukimsaidia mtu ni vyema kufanya hivyo kwa Kwa dhati ya Moyo wako, si kwa matarajio ya malipo, sifa au uaminifu wa kudumu. Kumkumbusha mtu msaada uliompa kunaweza kupunguza thamani ya tendo hilo jema na kushusha hadhi yako Zaidi.
@EsirEid Mm huwa sielewi Kwa wafanya maamuzi. Yaan walishindwa kuyatumia mamluki km hayo CDM kuingia kwenye uchaguzi Na kuilambisha pp, badala yake maamuzi yaliyotokana Na huyo mzinji Na Yule mchome yamesababishia taifa letu kuwa kwenye dhahama mby Zaidi ya vile CDM km Chama kiliumia..
@Sativa255 Huyo Dogo amekaa ki special force kabisa. Kwa namna yoyote ilivyo sio sura kusema inamuachia Mungu. Ki ukweli Kuna watoto wanachekelea Leo wazazi wao wakiwaumiza wengine Ila kesho Yao inaweza kuja kuwa ngumu mnoo. Who knows tomorrow...
@EduTalkTz Watu wasijitoe ufahamu, Raia wengi wametekwa akiwa mtendaji mkuu Wa Chama, amekubali kugombea, akipigiwa Kura Za magumashi, Raia wanakula vyuma vya kichwani, tumboni Na miongoni, mwisho Wa siku akalubali Kula kiapo Na yupo ofisin then eti mpinzani anamuamini. Hapo Kuna shida asee
@joeselasini Huyo msajiri Wa uonevu km mwambukusi alivyosema, hakika asipowekwa kwenye kichupa atalisababishia janga kubwa taifa letu. Naona kabisa Hali ya Somalia ama sudan ikielekea kunukia. Hata cc Ambao sio Wana Siasa active tunaona kbs huwezi kuifuta CDM then nchi hii ikawa Na AMAN
@godbless_lema Yaan yanaongelea kuua binadamu km sisimizi eti. Haya yalitakiwa yakiwa yanabariki maaumivu Kwa wengine Na yenyewe yakutane Na volcano Kali...
@MsigwaPeter Uko sahihi mchungaji japo ulitumia hasira Sana km vile ulikuwa unalipa kisasi Kwa Mzee Wa uchagani ambaye pengine anaweza kuwa hatar kuliko hata kijani yenyewe Kwa demokrasia ya nchi yetu. Kila la heri Mungu akubariki Sana.
@Oleshangay Ninadhani watu km Akina msigwa hata ACT sio WA kuwalaumu Sana maana wamesaidia ktk kuikuza CDM Na kuitambulisha CCM Kwa ubaya kamili Na sio nusu nusu km awali. Tutafakari Kwa kina
@Sativa255 CDM ilipofikia haitaweza kuangushwa Na mamluki Wa Aina yoyote. Mungu alikifanya Chama hicho kuwa Iman pale adhima ya zitto kuwa m/kiti alipoiangusha, Na mbowe kufutika Mazima. Lissu Ni Musa Na Joshua ndani ya nafsi yake..
@joeselasini Leo siku yangu imeishia vibaya Sana. Nimetoka kuhangaika nafika bawasha cm nimcheki kidogo nakutana michambo yenye kutia kinyaa, inayoumiza,nikabaki najisemea ty basi bwana Kwa vile yeye mjonba wake Na Mungu Acha achambe Kadri awezavyo...