@HakiElimu Kufuatilia maendeleo ya wasichana shuleni ni jambo mtambuka ambalo lina wahusu wazazi katika kiasi kikubwa sana,walimu ,serikali na jamii nzima kwasababu watoto wana haki ya kulindwa na kupewa elimu bora ili waweze kufikia ndoto zao bila kubaguliwa kijinsia.
#OndoaVikwazoAsome