@abbleluv@MsomiKhan18 Umejibu ๐ฏ๐ฏ๐ฏ๐ฏ correct, ndo mana ulimwambia mtu anzia certificate degree ikukute kazini mtu anaona kama wewe HUNA akili haya ndo matokeo
@GraceMwita1@koku_shekya Kingine ndo hapo ,nafikiri watu hawapaswi kuachana Bali Bora kutafuta mbinu nzuri ya wao kujirekebisha , nje ya hapo ni MAUMIVU Kwa ALoSHINDWA KUACHA
@MalisaGJ_ Nimesikia kulia , saivi tunapongeza sijui ,kile mara kile Kwa kulinganisha data za awamu ya 4 na ya Sasa pasi na kutambua awamu ya 5 eg nimesikiliza chombo Cha habari Jana kikisema ktk sekta flan mwaka 2000-2015 percentage 30 Kwa Sasa 90 % Kwa Hali hii wataanza 1 & Sasa basi
@MalisaGJ_ Nje tu ya hapa ,naona ndo ELIMU inakufa kabisa maana hapo Kuna KOZI ata KAZI ya KUJIAJIRI zitagoma , alafu swali Hawa walohukumiwa na HISTORIA wameadhibiwa? Yani kama vipi tutawaliwe UPYA tu na hao wenye rangi nyeupe maana kila sehemu unaona uhovyo HOVYO imejaa , shida ni kubwa
@reginald_sanga@TanzaniaLeaks Nawaza usingesema siyo kweli kwanza kabla ya kuuliza je ni bandari gani ,baada ya kukujibu ukakuta ni hiyo Yako ,na ndo huyu KASEMA basi ungeeleza labda Kwa baadhi na siyo kusema siyo kweli ,Kwa taarifa kama hizi mtu hawezi ibuka akaja sema hapa bila ushahidi mpendwa , shtuka
@kz0886mollel @berryk_outfits MUNGU AKUONE ,KWELI BINADAMU MWENZIO UNAMWITA COMMODITY? HUNA MAMA AU NDUGU WA KIKE WEWE ? TULIPE MUDA MAJIBU YAKE UTAYAONA HAPA DUNIANI MPENDWA
@berryk_outfits Umeuliza swali zuri nafikiri ni eneo ambapo vijana tunapaswa kuwa makini sana maana historia tunazopitia zaweza KUTUPA MAUMIVU na alama ambazo kwenye JAMII tukaonekana wa ajabu , MUNGU atusaidie hisia zisitutawale kuliko akili
@hmkpaka@JosephZombo1@harding248@dsengeh Great strategy and when they will go against also for you to deal with them it's easy as you put some laws that will discourage the importation so as long as you have seen their importance in that let them play the game fair, I think also TANZANIA could learn from your strategy
@NutrChallenge @UNEP@_AfricanUnion@FAO@FertilizerNews there is high increase uses of Industrial fertilizers as 8kg per 1hc to 50 really this is worse something has to be done immediately as we have yet Started to educate farmers on how to produce natural fertilizers & apply to their crops we have reached 3000+
@USAIDTanzania Hi , team We have a wonderful innovations that we would like your support so that we can do in education sector basing on STEM students how can we get support form your organization for supporting this program as dermal and then we can expand to another regions ?