Baada ya maafa yaliyochukua uhai wa baadhi ya ndugu zetu, kazi ya kuurudisha mji mdogo wa Katesh pamoja na vijiji jirani katika hali ya kawaida sasa inaendelea.
Waathirika wa maafa haya waliopo kwenye matibabu tutaendelea kuwahudumia mpaka pale watakaporejea katika hali ya kawaida. Wale walio kwenye kambi tutaendelea kuhakikisha wanapata huduma zote muhimu. Nimeagiza pia uwepo wa huduma ya kisaikolojia kama sehemu ya tiba kwa madhila waliyopitia ndugu zetu hawa. Sambamba na hayo, nimewaeleza kwamba Serikali itashirikiana na wadau mbalimbali kuwapatia makazi.
Nawakumbusha wale tuliowapa jukumu la kuratibu misaada hii kwa ndugu zetu kuwa fedha za majanga si fedha za kumnufaisha mtu binafsi, hivyo basi, uadilifu uzingatiwe. Tutumie fedha hizi kwa lengo lililokusudiwa ambalo ni kuwahudumia waathirika, kufanya marekebisho na kuwafariji ili waweze kurejea katika maisha yao ya kawaida.
@YoungAfricansSC Halafu mbona siku hizi hamchezeshi Farid Musa? Jamaa yuko vizuri sana kwenye mechi kama zile kwani ana speed, uwezo wa kukaba na anaweza kubeba kundi la wachezaji. Mimi ni Simba ila utaifa kwanza mtani mtumieni huyo jamaa kama hana shida ya ugonjwa. Next match think of him.
#TodayQuote "We need to stand on our own, if you are a farmer, you need to farm hard, if you are a fisherman, fish hard or if you are employed anywhere then work hard so that tanzania (and) tanzanians can get rid of donor dependence." ~ President Dr. John Pombe Magufuli.
Nimesikitishwa na kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa Dkt. John Utamwa aliyefariki Dunia leo Jijini Dar es Salaam. Nawapa pole Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Majaji, watumishi wa Mahakama, familia, ndugu & jamaa wote. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani. Amina.
@jokateM Hongera sana sister Jokate mwenyezi Mungu akubariki wewe pamoja na mwanao. Ijapokuwa nilikutafuta kwa simu yako naona no response. Anyway Mungu awabariki sana, na mtoto akuwe akiwa na hekima, akili, elimu, uchaji wa Mungu, heshima, moyo wa ibada, huruma ya Mungu na amani.
The U.S. Chamber of Commerce’s U.S.-Africa Business Center (USAfBC) hosted a presidential roundtable and dialogue with H.E. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, to formally launch the new Tanzania Investment Guide.
https://t.co/EfcpAQZoNp