Maneno mengi, malalamiko kibao ila solution ya tatizo ni moja tu.
Toeni haki kwa Watanzania, wapeni Watanzania haki ya kuchagua wabunge wao, haki ya kuchagua Chama cha kutawala, wapeni Watanzania katiba mpya na uchaguzi mpya urudiwa. Tuweke serikali mpya ya wananchi then serikali mpya ifanye accountability ya October 29. Fanyeni hayo then muone healing itakavyoanza Tanzania.
Toeni haki alafu muone kama kuna diaspora atahangaika na issue za Tz au kama kuna mwanaharakati atasikilizwa na WaTz.
Tatizo mnatafuta mchawi wakati mmeamua kunyima haki wananchi na mmegoma watu kuwajibishwa kwa mauaji ya October 29.
Jana ilikuwa ni Arsenal dhidi ya dunia nzima. Lakini yote kwa yote huu ni msimu mzuri sana kwa Arsenal, ubingwa wa EPL na fainali ya UCL. Kitu ambacho wenye chuki hawatakiamini ni kwamba tutarudi tena fainali ya UCL very soon na kubeba kombe la Club bingwa Ulaya. Mark this Tweet.
THE BEST TEAM IN THE LAND .!
Worthy Champions , 100% .!
Ni vile tu chuki na mautani yetu but wamekuwa wanapiga hodi kwa miaka kama mitatu , ishara ilikuwepo pale , it was coming na hatimaye imefika .
CONGRATULATIONS ARSENAL @Arsenal
Mwenye ile video ya Zitto Kabwe akiwahakikishia CCm kuwa wasijali hakuna maandamano yatatokea kwenye uchaguzi sababu kuna kimoja tu Tanzania kinachoweza kuitishisha maandamano na chama hiko ni ACt na wao wanashiriki uchaguzi. Naomba nitumie hiyo video WhatsApp +1 424 537 3057
Mungu akubariki sana Mzee Warioba 🙏🏽
Msema kweli mpenzi wa Mungu! We ndo miongoni mwa wazee wa kweli wa Taifa na tunajivunia mkoa wa Mara
Uko sahihi Dunia nzima inatucheka na huu upumbavu wa eti 97% - kura za Tume hizo si ya wananchi!
Wananchi walikuwa sahihi kuandamana maana hawakupewa haki yao ya msingi kuchagua viongozi wao!
#SamiaMustGo
Kuishi maisha ya haki si jambo gumu kuelewa, ingawa linaweza kuwa gumu kulitenda. Mara nyingi tunajua kilicho sahihi uaminifu, nidhamu, wema, uwajibikaji na kujitawala. Changamoto si kukijua kilicho sahihi, bali ni kuishi hivyo kwa uthabiti, hasa wakati maisha yanakuwa magumu au majaribu yanapotokea. Maisha ya kweli na haki yanahitaji nguvu, uvumilivu na wakati mwingine kujitoa sadaka. Ndiyo maana yanaweza kuwa magumu, lakini msingi wake unabaki kuwa rahisi.
🚨 Understand Arsenal are planning to offer Mikel Arteta a new contract in the summer.
Plan already decided in March regardless of end of the season results.
Arteta wants to focus on titles now but in love with Arsenal project and looking forward to talks.
Deal on soon. ❤️🤍
Nimefurahi kupokea Tuzo hii ya ushajaa ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu.
Tuzo hii imetolewa na vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutambua mchango wa Mwenyekiti katika kupigania, Demokrasia, haki na usawa katika Nchi yetu.
Kwa niaba ya Mwenyekiti ninawashukuru sana .
Basi hapa ndo kuna watu roho zinawaumaaaa 😁 Yaani ni kwamba Tundu Lissu hakwepeki🔥
Sasa ndo mtajua hamjui! Mlimsingizia uhaini ila mjumbe maalum wa Jumuiya ya Madola kamtembelea jela na kumsikiliza! Mwachieni Lissu msimpotezee muda
Eniwei mmeshaambiwa na @UmojaWaMataifa mlipe na fidia sasa hii fidia iwe per day - kila siku mnayoendelea kumshikilia fidia inaongezeka
Mpo? 💪🏽
#FreeTunduLissu
https://t.co/izu09Ho0Br