@zoetjesheeftX Dem anajidharirisha zaid. Mwanaume ukale nae asifanye kitu unamapungufu yako ya wazi kabisa na yeye anamisimamo yake. Moja ya sababu ndiyo km hiii. Angemkuka angeanza toa kasoro kwenye kuliwa kwake
@0101DUBU ๐คฃ๐คฃ Acha ujinga kumrudia x wako ni dharau kubwa kwako. Mwache akasome harafu usifuate hisia huja na kupotea kama mosh Linda amani ya moyo wako kama alikuacha bila kosa unadhan atakosa sababu yakukumiza tena oyaa๐ซต Acha uboya
@BesteNicolas@professorIV01 Niliahidiwa mtoto tena wa kwanza. Ila niliona si vyema kumdharirisha mwanaume mwenzangu. Na sikutaka kumkula tena yule mwanamke