If you are married to a gojias lady who's trying her level best to connect you to sayuni, worry not, I have a solution for you.
Tafuta kitu 600k uende @ArtsAutoEng wakuuzie gari kama hii alafu ukalishe mamaa chini na umwekee youtube videos on "How to restore a Range Rover". With that, atakuwa convinced she has found a rare gem.
After that, saidia yeye kutafuta a nice garage na facilitate transport ya hio gari hadi huko alafu ufinyie makanika Gichuru macho asichome then sit back and watch the unending tales of why the zebra has stripes.
Her mind will be occupied totally because kazi itakuwa "gari inataka hii" and other stories. Atasahau hadi plans zake za kukulink na yua creator.
Si mnajua such projects huwa haziishi?
Alafu sasa as a good husband at times kuwa ukimrushia kakitu kama 50k ka kumpea morale na kummotivate keep going.
By the time this project is almost done, she will no longer have the energy to think of evil thoughts. Atakuwa na addiction ya Ashwagandha juu ya ile hekaya atakuwa amejionea.
Stay guided.
Mi naona universe iliniona nikicheka shida za watu ikasema, "Ngoja sasa tukupatie content yako."
Kwanza love life. Hiyo kitu iliniacha kitambo mpaka nikiona couple wakipigana nawashangaa. Mimi ata sijui argument ya relationship huanza aje nowadays. Cupid akikuja kwangu sahii nitamuuliza, "Bro, appointment ulikuwa umebook?" Hadi mapenzi zimeniforget kama password ya Wi-Fi ya jirani.
Then WhatsApp. Meta waliinuka siku moja wakaamua kunifanya character development. Account ikaenda na chats zote muhimu zikaenda kuzurura kwa ancestors. Backup? Hakukuwa na backup. Hiyo ni kama kuoshwa na mafuriko ukisema vitu zako zilikuwa kwa balcony. Hata DCI wakiniita leo nitawaonyesha blank screen tu. Evidence ziko heaven VIP.
Afadhali niishie hapo? Wapi!
Goti yangu nayo imeamua ni mzee before time. Nikisimama inatoa sound kama mlango ya choo ya boarding school. Ukiniona natembea polepole usidhani niko humble. Ni suspension imechoka.
Na pesa? Aaah! Bank account yangu na njaa wako kwa relationship ya miaka mingi. Nikifungua app ya bank siangalii balance, naangalia tu kama account bado haijafungwa. Hata M-Pesa ikinipa offer ya Fuliza naona wananiinsult. Mtu sina mia mbili unaniambia nikope elfu tano nitalipa na nini? Maombi?
Halafu nikapata akili ya kurestore gari. 😂 Wakenya wanabuy gari wanaendesha. Mimi nilibuy assignment. Mechanic akiniona anaweka smile ya landlord tarehe 5. Jamaa ananiona kama walking tender.
Lakini kitu inanimaliza ni vile bado niko X naandika motivation. Mimi mwenyewe niko kwa pressure ya life kama tyre ya mkokoteni lakini nawaambia, "Usikate tamaa, kesho ni siku mpya." Kesho yenyewe inanipata nikiomba M-Pesa message iingie hata ya wrong number.
Sasa nikikaa chini naangalia CV ya shida zangu, naona hata serikali ingenihire ningekuwa Cabinet Secretary wa Character Development.
Lakini juu mi ni gaidi, nitacheka tu. Maisha ikinipiga left hook ninasema, "Wacha kwanza nicheki memes." Kesho naamka tena nikisema, "This is my year." Hiyo statement imefika anniversary kadhaa lakini sichoki.
Unapotea kazi for months unawachia someone else you trust to run it for you mind you wengine hata hawalipwi then unarudi unasema venye umeibiwa in your own business.Swali mnafaa kujiuliza where was he when all this was happening and why was he away????!!!!