#TajiriLaKihaya@VodacomTanzania hiki mnachokifanya ni UTAPELI na ULAGHAI!
yaani mtu anakua subscribed kwa vitu ambavyo hajakubali….
Mnawatapeli saana wazazi wetu huko vijijini ambao hawajasoma…
Kuna muda mnatuma Automatic message ya kimtego saqna mtu akibonyeza tu - Tayari ashajiunga!
Kwa mfano hii sms mliyonitumia… sijawahi jiunga nao wala siwafaham wanafanya nn… ila tayari naambiwa nmeshajiunga na kila siku nitakatwa TZS 199… hii kwa mwaka ni TZS 72k. Kwa watu milion moja mnaingiza sh.ngap??
Inamaana kwa watu ambao hawajui kusoma- automatically watakua wanakatwa hii hela kwa sababu hawataweza ku Unsubscribe… ni sio hao tu kuna wengine sms za Vodacom hatusomi!
Huu ni WIZI!
Sijui nani amewahi fuatilia au kugundua uhalisia huu kwamba.
Ni rahisi sana ku perfom kwa muda mrefu kwenye POTASSIUM iliyolegea kuliko inayobana.
Hizi ambazo zipo loose ni rahisi kuwashia kwenye gia maana SHAFT inapita bila kupingwa.
Lakini, hizi Potassium zinazobana ikizima kuwakia katika Gear ni kazi maana shaft haipiti kama haijakaza vizuri.
Usiulize why unachapa vizuri kwa bar maid, wasimbe na hutu twembamba then pisi ndogo ndogo za kawaida una score ndogo hiyo inaweza kuwa sababu.
Unaoa kwa upendo
Unaamua kujali familia.
Mnaishi, mistake kwa mwanaume zinatokea mnakwaruzana na ku solve changamoto za ndoa which is good.
Mke anasema amekusamehe.
Kidogo kidogo.
Baada ya argument mara kadhaa, inakuwa turn ya mkeo kukosea.
Hataki akosolewe.
Ukisema anakukumbusha vile ulimkosea akakusamehe.
“Wewe mbona ulifanya ivi nikafanya ivi”
Tena analia machozi nakubwa mengi.
Ukiendelea anaanza.
Au kisa kwetu masikini na umenizalisha unajua sina pa kwenda.
Sometimes anajisahau anakusanya na nguo zake, pengine anasema.
Mbona fulani aliachika na anaishi hata mimi naweza.
Hao ndio wale wanawake walioko kwenye vikundi na pesa yao haifanyi shughuli za familia.
Ni aina ya wanawake wameorudisha wanaume wengi nyuma.
Aina hiyo ya mwanamke sio ya kuvumilia kisa watoto.
Utakosa furaha au maendeleo, au vyote kwa pamoja.
Siasa za ushawishi zimekuwa ngumu sana kwa baadhi ya nchi zinazoendelea barani Afrika. Tumefika pahala wanasiasa wanakaribia kutuaminisha kitendo chochote cha kuwafanya wawajibike kwa wananchi ni uchochezi na ‘kulinda amani na utulivu’ ni kuwaacha wanasiasa wafanye wanavyotaka wao bila kuulizwa chochote na wananchi.
Pengine imefika wakati hizi nchi zinazoendelea zije hapa nchini zijifunze namna ya kuendesha siasa za masuala na ushawishi wa hoja. Hapa kwetu wanasiasa hawaogopi kabisa mawazo mbadala na wanachi, kwa upande mwingine, wanajisikia salama na huru kutofautiana na watawala wao linapokuja suala la haki, uwajibikaji na maslahi mapana ya nchi.
@TouchlineX Everyone was mocking and laughing at Vini jr
That he Complain too much instead of playing football
And now he single handedly changed the face of football forever.
You all will respect Vini jr by force
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆:
Somali referee Omar Artan has been officially appointed to officiate the Kuwait Zain Premier League final on June 29, following a special invitation from the Kuwait Football Association.
The final round is expected to confirm Kuwait Club as champions of the 2025–2026 Zain Premier League season.
CAF President Patrice Motsepe has shown strong support for the referee after being denied entry into the United States ahead of World Cup-related duties.
#AfricanFootball
#Somalia
#WorldCupwithMicky
🚨📢| Mourinho: Spain’s Barca Obsession Will Cost Them – Cape Verde Proved It
“That’s exactly what happens when you call up a team full of Barcelona players.
A nation that shows up at the World Cup every four years, thinking they’re untouchable… and they can’t even beat a ‘weak’ Cape Verde side?
Listen, this is the wake-up call.
We all need to be very, very scared of the African teams in this World Cup. They are ready. They are hungry. And they don’t care about your club badges.”
🇲🇽 A Mexican fan showed incredible World Cup spirit by decorating her hair with the flags of all participating teams.
Football bringing the world together. ❤️
#WorldCupwithMicky#Mexico#WorldCup2026
J.J Okocha has received FIFA World Cup Superior Player of the Match Winner award for his performance at the FIFA World Cup 1998 Nigeria 🇳🇬 Vs Spain 🇪🇸.
Milan ina vilabu viwili vikubwa vya soka, AC Milan na Inter Milan. Zote zinashiriki katika kiwango cha juu kabisa cha soka nchini Italia, zinatumia uwanja mmoja wa San Siro, ni watani wa muda mrefu wenye ushindani mkubwa, lakini bado zimeendelea kuwa miongoni mwa vilabu vinavyoheshimika zaidi duniani.
Baadhi ya mafunzo kutoka kwa vilabu hivi viwili vikubwa:
• Watani wakubwa huifanya kila upande kuwa bora zaidi. Ushindani huinua viwango na kuchochea ubora.
• Wachezaji, makocha na viongozi hubadilika, lakini taasisi imara hubaki. Klabu lazima iwe kubwa kuliko mtu yeyote.
• Jenga msingi imara nyumbani, lakini uwe na ndoto na malengo ya dunia nzima. Klabu kubwa hazijiwekei mipaka ya mji au nchi yao pekee.
• Ubora wa kweli hujengwa kwa vizazi. Unahitaji maono, uvumilivu, uthabiti na uwezo wa kuendeleza msingi uliowekwa na waliotangulia.
Pengine funzo kubwa zaidi ni hili: ushindani unatakiwa kutufanya tuwe bora zaidi hapa nyumbani, lakini maono makubwa yanapaswa kutuunganisha kwenye jukwaa la kimataifa. Kadri vilabu vyetu vinavyoinua viwango, ndivyo tunavyopata fursa kubwa zaidi ya kuonyesha nguvu ya ligi yetu na uwezo wa taifa letu katika viwango vya kimataifa.
#NguvuMoja #football #championship #acmilan #intermilán