Hizi hapa namba za simu za wakuu wa kikosi cha usalama barabarani mikoa yote Tz.
-Abiria paza sauti dhidi ya uvunjwaji wa sheria.
@RsaTanzania
@psv_connect
@wasafirtanzania
@SouthernBuses@TBoundBuses
Mwendokasi huua. Tafadhali endesha kwa uangalifu. Maisha yako ni muhimu, na usalama wa wote walioko barabarani pia ni muhimu. Kila safari ina thamani punguza mwendo, kuwa makini, na hakikisha wewe pamoja na wapendwa wako mnarejea nyumbani salama.
🔶 Unajua maana ya ishara hii?
Ishara ya alama ya kivuko cha watembea kwa miguu 🚸 inamaanisha lazima upunguze mwendo na kuwapa watembea kwa miguu nafasi ya kuvuka.
Kumbuka barabara ni ya kila mtu.
#UsalamaBarabarani#ElimuKwaWote#HudumaKwaJamii"
🤝 Ushirikiano kwa Usalama
Mara kwa mara @PoliceForce_Tz wanakumbusha madereva na watumiaji wa barabara kuwa alama za barabarani ni lugha rasmi ya usalama.
Kuzipuuza ni kuhatarisha maisha yako na ya wengine.
🚌 Usalama wako ni muhimu hata kama ni abiria.
Ikiwa unasafiri usiku na dereva anaendesha kwa mwendo kasi, kupuuza alama za barabarani, au kuendesha akiwa amechoka/kulewa, una haki ya kutoa taarifa na kufanya yafuatayo:-
@tanpol
https://t.co/OwuCsmTs6l
Hizi hapa namba za simu za wakuu wa kikosi cha usalama barabarani mikoa yote Tz.
-Abiria paza sauti dhidi ya uvunjwaji wa sheria.
@RsaTanzania
@psv_connect
@wasafirtanzania
@SouthernBuses@TBoundBuses
Kabla ya kuanza safari, hakikisha matairi yako yana upepo kiwango sahihi.
Matairi yaliyolegea au kujaa kupita kiasi yanaweza kusababisha ajali na kuongeza matumizi ya mafuta.
Safari salama huanza na maandalizi sahihi.
#UsalamaBarabarani#TipYaWiki#SitakiAjali#HudumaKwaJamii"
🇧🇯Mwimbaji Ciara Princess Harris sasa ni raia rasmi wa Jamhuri ya Benin. Alikabidhiwa uraia 26 Julai 2025, akihusishwa na eneo la kihistoria la Ouidah na Lango la Wasiorudi, akithibitisha urithi wake wa Kiafrika. 🙌🏾🖤 #CiaraBenin#DiasporaToAfrica
4. Awe na leseni halali kwa gari husika (Kf.19)
5. Awe na umri usiopungua miaka 21 ikiwa anataka kuendesha basi au gari la biashara na awe alishakuwa na leseni kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu;(kf25(4))
6. Kwa mabasi ya abiria umri kuanzia miaka 30 kwa sheria za LATRA.
Sifa za kuwa dereva wa gari (Motor Vehicle).
Ili mtu aruhusiwe kuendesha gari, mtu yeyote anatakiwa kukidhi sifa zifuatazo:
1. Awe na ujuzi wa kutosha kuendesha gari analoombea leseni (Kf 24)
2. Lazima awe na ufahamu wa sheria ya Usalama Barabarani, Kanuni za kuendesha barabarani (Highway Code), alama na michoro ya barabarani. (kf.24)
3. Asiwe chini ya umri wa miaka 18, na kwa kuendesha Mopeds asiwe chini ya umri wa miaka 16;(kf 25(4))