Uhusiano wowote unaoujenga hakikisha una pande mbili katika kunufaika.
Uhusiano ambao upande mmoja ndiyo unanufaika huenda ukawa sio uhusiano sahihi.
Usikubali kuendelea kukaa kwenye uhusiano usiokuwa na faida.
Move out from Parasitic relationship
True love must be reciprocated
Huenda umekosa mtu wa kukusemea mahali, unatamani uwe na mtu lakini ndio huna .Kila mtu kajitenga na wewe.
Mwendee Yesu,mwambie vile umebaki mpweke, Atasikia,anajali,atakupa furaha,atakupa tumaini jipya,atakushika kwa mkono wa haki yake.
HE LOVES YOU THAN ANYBODY๐
FRAME INAUZWA NA KILA KITU KILICHOPO NDANI BEI SAWA NA BURE
Location: Kariakoo Mtaa wa Masasi na Likoma Near Maendeleo Bank.
PRICE: 8M mazungumzo Yapo.
Contact: +255 759 400 112
+255 694 000 115
CONTACT US FOR BUSINESS.