Mchezaji bora wa taifa hili. Hafungi mara kwa mara ila mchango wake ni mkubwa kwetu. Tazama alivyokuwa anajiamini, anavyokokota mpira, shabaha yake na uwezo wake wa kukaa na mpira. Kutembea na mpira kwa hatua 10+ dhidi ya timu kubwa kama Benin mpaka kwenye boksi sio jambo rahisi
Kwa hotuba ya leo narudia tena kuwa " SHE IS THE FINEST AND VISIONARY POLITICIAN"
Kama hutaki go and argue with your ancestors this is my remark and it is independent!๐คฃ๐๐ป
Kuniuwa hamuwezi ๐