@SuluhuSamia Hongera sana Rais wetu mpendwa kwa hotuba nzuri isiyo na unafiki imenyooka kweli kama njia iendayo mbinguni...Tumefurahi kusikia Katiba Mpya na mengine mazuri kura yangu unayo mi5 tena tuko pa1 na mama kidumu chama cha Mapinduzi...see more...
@SuluhuSamia Hakika mama umefanya kazi kubwa sana 13millions...Zawadi yako nitakupatia kwenye uchaguzi ujao mi5 tena Kazi na utu tunasonga mbeleπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
@SuluhuSamia Wadhamini waliofika kituo cha Polisi Kati kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituo hapo.
,,,polisi TANZANIA mnatutisha wananchi tunakosa imani na jeshi la polisi,,,,,saiv kesi tutakuwa tunapeleka kwa waganga sasa,,,π₯πΉπΏπ
@SuluhuSamia Sio mbaya. Tumewazidi kila kitu japo tumepoteza nafasi nyingi za magoli. Tulikua nyumbani lakini ni kama ugenini. Huenda tungecheza kwa Mkapa wangekula nyingi zaidi. Lakini kama tumeweza kupata matokeo Zanzibar, basi hata Kwa Madiba tunaweza kupata matokeo pia. Tukutane Fainali.