@SuluhuSamia Mama Shikamoo!!
Naomba unisaidie hapo Mbeya nipate pisi moja Safi ya Kinyakyusa au hata ikipatikana ya Kisafwa nitashukuru sana Mama. Utu na kazi mbele kwa mbele๐
@Baba__J@nulphin Acha kisirani Jeshi lilishaanza kuhusishwa na siasa kitambo sana. Kwan aliyekuwa Mwenyekiti msaidizi wa CCM, mzee kinana alipewa position na Magufuli??