Hivi kwanini @ccm_tanzania isifanye risk ya hii miaka mitano tu ikaongozwa na upinzani @ChademaTz au @ACTwazalendo hata chauma then wapinzani wasiitafte hata katiba mpya wala tume huru alaf waangalie kitashindikana kipi wanachokieleza kila siku tumefanya hichi na kile na sio
Nimefanikiwa kupata bidhaa yangu kutoka @champ_products nashukuru leo @mpambazi amewezesha mm kuwasiliana na @kalage_jr na kupata bidhaa pamoja na mvua hii ya dar ila mzigo umefika kwa wakati. Appreciate
#Beyou#ChampNaturalProducts