Tunaishi na wengi wasiotaka kutuona tukifanikiwa jitahidi kutoyatangaza unayotarajia kuyafanya hadi utakapofanya, Undani wa roho zao hatuujui, Ishi kwa tahadhari
Tunaishi chini ya dollar moja, wakati utafika MUNGU apumzike kufanya kazi na wewe utasimamia familia kwenye kila Kitu muhimu. chakula, makazi, elimu, mavazi, afya n.k
Good morning friends