Mafanikio mara nyingi yanakuhitaji wewe utoke nje ya eneo lako la faraja (comfort zone) na kuchukua hatari (risks).
Nikamsikia Dada mmoja kutoka Nchini SA (South Africa),
Akasema kuwa moja ya hatari kubwa kuwahi kutokea kwenye maisha ya mtu ni kutochukua hatari yoyote.
👇👇
Watu wakijua una uhitaji sana wa hio pesa,
Watakutumia wewe pamoja na muda wako,
Maana hio automatically inakufanya unakua insecure mbele yao,
Never make money as your master but only a slave
Watu wakijua una uhitaji sana wa hio pesa,
Watakutumia wewe pamoja na muda wako,
Maana hio automatically inakufanya unakua insecure mbele yao,
Never make money as your master but only a slave
Watu potential wana kitu kimoja ambacho ni LIMITED,
kitu hicho ni TIME,
Unatakiwa kuonyesha au ku-provide value ili wakupe muda wa kukusikiliza, kukusupport au kushirikiana na wewe,
Focus kwenye kutengeneza value so that you can have something to provide
@samz__23 Biblical, ni 10% ya Net salary otherwise kama una different kind of faith,
Na watu wengi hawajui kuwa lengo la Mungu ku establish sadaka ya zaka sio kiwango gani utatoa [figures] ila ni UTII tu,
Yani ule uwezo wa kujua kwenye kila kitu chako kuna cha Mungu humo,
Kuna Mambo haya Makubwa ambayo yanaweza kumpa Matokeo mtu yoyote kama atayafanyia kazi,
1. Persistence [Hali ya Kufanya kwa kuendelea hadi uone matokeo unayoyataka]
2. Longevity [muda unaotumia kufanya jambo hilo unalotamani kuona matokeo]
Napoleon Hill
Kuna Mambo haya Makubwa ambayo yanaweza kumpa Matokeo mtu yoyote kama atayafanyia kazi,
1. Persistence [Hali ya Kufanya kwa kuendelea hadi uone matokeo unayoyataka]
2. Longevity [muda unaotumia kufanya jambo hilo unalotamani kuona matokeo]
Napoleon Hill
Hakuna mtu atasoma hivi vitabu na kubaki hivyo alivyo sasa.
Kama yupo nyosha mkono
1. Richest man in Babylon
2. Think and Grow Rich
3. Psychology of money
4. RichDad PoorDad
5. Atomic habits
6. The Almanac of Naval
7. Never split the difference
8. The Millionaire mind
@shabirnakamu@tazamaMbali Yes Mkuu Nakamu,
Mara zote Hio ndiyo Mindset ya Matajiri wengi,
Lakini watu wengi wenye poor mindset huwa wanawaza nini cha kununua mara tu wanapopata fedha,
Lakini hawawazi wapi wakawekeze ili waizidishe pesa yao,
Mind you ukinunua kitu money is going out, and vice versa
@shabirnakamu@tazamaMbali Yes Mkuu Nakamu,
Mara zote Hio ndiyo Mindset ya Matajiri wengi,
Lakini watu wengi wenye poor mindset huwa wanawaza nini cha kununua mara tu wanapopata fedha,
Lakini hawawazi wapi wakawekeze ili waizidishe pesa yao,
Mind you ukinunua kitu money is going out, and vice versa
Uzi nilioandika Leo kuhusu utengenezaji na uuzaji wa ebook kupitia Chatgp
Baada ya kuandaa Ebook yako
Swali kubwa ni nauza wapi?
Kila MTU ameuliza
Jibu NI
popote pale unaweza uza (WhatsApp, Facebook, tiktok, telegram, YouTube) na social media zingine
Lakini pia kwenye site mbalimbali
Google/uliza Ai. Website where I can sell my Ebooks itakupa nyingi Fanya utafiti uone ipi inakufaa
Lakini pia unaweza kumcheki @nickyrabit
Founder na CEO WA @CreatorStoreApp
Utaweza kuuza kupitia software yake kirahisi zaidi kama bwana @gabyconscious
Na @veenblessing
Waliyotumia kuuza E-book zao
That's all for now!
If you enjoyed this post:
→ Follow me @officialhimsel1 for more.
→ Like/Repost the first post so more people can learn.
→ Comment to add value or spark a conversation.
Thanks! 🖤
Chochote unachokijua/Ulichojifunza kama hukitumii na pili hakikusaidii ni takataka🚮
Kuna mtu analipia mentorship $300 alafu analala tu baada ya course na anategemea awe na matokeo ya mentor wake,
Kanuni hazina upendeleo, unaruhusiwa kuvuna ulichopanda tu✅️
@chibelube Exactly,
Mungu anatumia kitu kinaitwa [The System Of Men]
Akitaka kumuinua mtu anatumia mtu n.k
So ni muhimu mno mtu binafsi kujifunza kutengeneza mahusiano ya kimkakati na watu,
Finally, Mahusiano sio karama ila ni Uwekezaji [an Investment]
Umetisha man!
At least Kila mfanyabiashara anapaswa kuwa Copywriter kuliko Marketer,
Why??
Marketer anauza bidhaa lakini copywriter anauza Offers✅️
Na offers ndio engine ya sales generation na sales funnel😎
Na hapo ndio patamu haswa,
Au kaka @NyandaAmosi unasemaje?
#tbt with values
Kwenye biashara utapoteza pesa na muda mpaka pale umekuja kujua kuwa unahitaji kujua kanuni zinazofanya kazi kwenye biashara na ukazifanyia kazi,
Mostly huwa nasema hakikisha unajifunza high income skill yoyote, haitakuangusha,
Usiishie kuwa local businessman
Nimekuja kujua kuwa Knowledge haikimbiliki,
Hata kwenye eneo la productivity,
Utazalisha kutokana na kile unakijua,
So kama hujui chochote huwezi kuzalisha chochote,
My brother @NyandaAmosi huwa anasema hakikisha unajifunza high income skill yoyote, haitakuangusha👏