@Sirjeff_D Ukifiatilia vizuri utagundua hata uchawi ni dini kwahyo hakuna binadamu neutral na ndio maana hakuna mtu asiyetoa sadaka ni vile Tu unatoa Kwa Nani na Kwa lengo gani