@babalao__ Sasa million 1 mbona aibu kwa nchi yangu.
Kama vp wana TL iundwe platform tuchange chochote apa tumpe huyu Kamanda tuiaibishe serikali na siku anapewa tuite na vyombo vyao vya habari waone aibu najua tutavunja rekod.🙏
“Shujaa Mvuvi — Muokoaji”
Majaliwa Jackson (Maja Munyama), mvuvi wa dagaa anasema alipoona ndege imetua ndani ya maji (kutoka upande wa Kyaka) isivyo kawaida, kwa kuwa ilikuwa asubuhi, saa 8:53 EAT, aliwasanua wenzake waliokuwa na mtumbwi mdogo, walipiga kasia hadi kwenye ndege.
Mshambuliaji wa Simba, Dejan Georgijevic amethibitisha Kuondoka klabuni hapo kwa madai kuwa Mwajiri (klabu)imekiuka makubaliano ya mkataba
"Nathibitisha kuwa mkataba wangu na Simba umevunjika,kutokana na Mwajiri kukiuka makubaliano ya Kimkataba.Asante Mashabiki kwa mapenzi yenu"