@1TraVeLA Huyu dogo ni mzuri sana, angalia anavyopokea mipira pamoja na movements zake, then ana speed na mashuti. Bado kidogo asaidiwe kwenye decision making, ni kama alivoanza Mzize
@bohny_chengula Sasa kocha hata Ihefu hawezi kufundisha ndo anapewa starz ? Kocha ana kinyongo na wachezaji, kocha anataka uwakala wa wachezaji, asiyekubali haitwi. Nyambaaf zake na Kacheka wake