Matumizi ya simu📱 yanazidi kuongezeka siku kwa siku.
Awali
tumekuwa tukitumia simu kama kifaa cha kuwasiliana tu ☎️ kupiga pekee 📲, baadae kidogo simu hii ikatuwezesha kutuma jumbe💬, ikaturahisishia zaidi kuwasiliana kwa kuonana 🕹️.
@crb_tz Habari. Nahitaji kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, napiga namba hizi hazipokelewei 026 296 2404 na 026 296 2403. Kama kuna namba nyingine admin unisaidie tafadhali
Maisha huanza na mimi, mabadiliko huanza na wewe, tunathamini kila wazo lako kulifanya halisi, Biashara yako inathamani kumbwa kwako, lakini sisi wajibu wetu ni kuipa uhai zaidi.
Wajali wateja wako, tumia V-EFD kutoa risiti za TRA🧾 kupitia simu yako.
0710228801
VFD overtake the supply demands of EFD.
Dear taxpayers, now you can enjoy the issuing of TRA electrical receipt by using your smartphone or computer.
CONTACT us for support.
255710228801 whatsapp
255764228801 normal call