@JMakamba Tungependa kujua jumla halisi ya tozo zilizopunguzwa ni kiasi gani/litre na je hiyo impact ya punguzo ni kwanini bado imepelekea mafuta kupanda kwa sh12? Mategemeo ni kwamba tozo zilizopunguzwa pia zingepelekea kishuka kwa bei ya mafuta pia
Tumepokea maelekezo ya Mhe Rais na leo tuta-gazette upunguzaji wa tozo nane za Serikali zinazochangia kwenye bei za mafuta ili kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta duniani. Kuanzia kesho, taasisi kadhaa zitaacha kukusanya jumla ya bilioni 101 ili kutoa nafuu kwa wananchi
@JMakamba 3.2m current TANESCO customers...for a popolation of 55m pple is roughly like 11m households vs 3.2m households/tanesco customers this is like ⅓ coverrage with national grid....still a lot of work need to happen at least to have 50% coverage
@JMakamba Hongera sana kuchaguliwa ktk Cabinet hii kama waziri wa Nishati. Kwa niaba ya wazee wangu wa moshi vijijini kata ya Okaoni ktk vitongoji nya Sisa, Nkoshau na Kyareni tunatoa lalamiko kuchelewa kukamilisha mradi wa umeme ktk maeneo haya. Kazi bado inasuasua.
Mipasho imeanza....lakini nimejifunza kitu kwa wanasiasa....Hata siku moja usije kumuamini mwanasiasa akikwambia kitu leo...kesho kukikucha utashangaaa na macho yako. Angalia picha ya chini👇
#coronavirus spreading very fast worldwide. Now remaiming few un-affected white spots, not sure for how long. #Tanzania should implement lockdown measures to ensure there is 100% no case rather than waiting until we get a case and start implementing lockdown.
#coronavirus spreading very fast worldwide. Now remaiming few un-affected white spots, not sure for how long. #Tanzania should implement lockdown measures to ensure there is 100% no case rather than waiting until we get a case and start implementing lockdown.
Very happy to run into the coolest Tanzanian professional I know, former Tz CAG Prof Mussa Assad at JKIA NAIROBI this evening. May Allah continue to guide you inshaallah.
Majanga ya malori ya mafuta Africa kuanzia 2007 mpaka sasa. Inatisha sana. Watu wanatakiwa kuelewa kwamba lori la mafuta likidondoka basi ukimbie mbali kabisa maana likilipuka na wewe uko karibu yake majanga yanakuwa kama haya. Muhimu sana kuelewa.
Small banks have issued loans that exceed customer deposits according to latest financial statements. Could this be a good challenge to have as a country, meaning there is growing demand for loans to small businesses?
Hivi kwanini nssf wasitulipe interest on our pension funds? Maana wanatumia pension zetu kwenye uwekezaji mfano kwenye bank deposits halafu hiyo interest on deposits wanatafuna wenyewe. Walimu wangu wa Economics @delphintz nisaidieni hapa
Ingekuwa vizuri hawa maBOTS wangwamua: kuna siku wananiita msagaji 🤣🤷🏽♀️; siku nyingine kigagula nilikuwa sitakiwi na mtu; siku nyingine malaya; na sasa hivi wananifanya SEX GODDESS. 🤣🤣🤣 it’s great being me.