Jana Familia ilitoka public na kusema Baba yao ametekwa na watu wasiojulikana.
Leo wanapewa taarifa kwamba mwili wa Baba yao umekutwa Kondoa ukiwa umeharibika, wapendwa hakuna aliyesalama.
Tunaishi kwenye nchi ambayo imejaa Viongozi wa mchongo ambao ni wauaji ndo maana haya matukio wanaona ni kitu cha kawaida.😭
REPOST 200