Unajua nilikuwa ni sehemu ya utani but seems like wapo serious kuhusu βMessi kubebwa na FIFAβ
Mtu anielezee kwa kifupi au akiweza hata kwa kirefu kwanini FIFA wampendelee Messi? Yeye ni nani? Anawapa nini mpaka marais 2 kwa nyakati tofauti wote wampendelee? FIFA wananufaika na nini wakimpendelea?
FIFA ni taasisi kubwa mno kila rais wa dunia hii anajikosha kwao (even Trump wa Taifa lenye nguvu kama USA) na wengine wanahonga mabilioni ili wapate nafasi ya kuhost World Cup. Lakini taasisi hiyo hiyo ijiskie tu kumpendelea mtu mmoja ambaye hata hawajui ametokea wapi?
Kama unaamini hili jambo ni kweli ndugu yangu una changamoto ya afya akili wahi kwa daktari wa magonjwa ya akili.
Hapa nakubaliana na wewe hatuwezi kuhalalisha kosa kwa kosa . Na watu wakiwasema Arsenal kufunga hayo magoli bado mimi naamini kosa sio lao bali wenye maamuzi . Unadhani ukipuliza filimbi wataendelea ? Hell no. Wanafanya coz wanaona ni sahihi filimbi haipulizwi .
Wachezaji wa Arsenal sio marefa , na mtu akiona inamfaa naye afanye mpaka PGMOL watakapoona hairuhusiwi waitoe . Wasipotoa basi kila mtu afanye kwa wakati wakeπ
πΈ - We can talk about Stamford Bridge, about the Tottenham Hotspur Stadium, about Selhurst Park, about Craven Cottage.
But THIS is the ULTIMATE TEMPLE of London, this is the BIGGEST club in London!
THIS IS ARSENAL FC! π₯
Say whatever the fuck you want about Gyokeres but he ran his bollocks off tonight and fought for every fucking ball. Playing for the badge is something I will always respect.