ILA WATU π
Baada ya Yanga kupost kikosi cha leo Vs Waliete Benguela, kuna jamaa ame comment "kikosi cha Yanga kinabadilika kama kesi ya Lissu" π
Any way, baadae tupeane uchambuzi wanangu, nimekosa kuitizama mechi kutokana na MAJUKUMU π₯±
Serikali ya SAMIA ina dhamira ya dhati kabisa ya kutaka kuiangusha CHADEMA sababu inafahamu wanaweza wasipate ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
CHADEMA Ni people's power hata wafanye nini tutavishinda.
Kama uchaguzi mkuu mwaka huu utakuwa huru na haki Tundu lissu anaweza akiifanya CHADEMA ishinde viti vingi vya ubunge kuliko CCM.
Take note!!!
People's power@Tundulissu
John Pombe Maguful the PhD thou he rested but his Legacies live forever....unapopata nafasi ya kuishi duniani,Acha alama,alama chanya zitakutetea!!! Forever kwenye mioyo ya watanzania ....John Pombe Maguful!.
Wafuasi wa CHADEMA wanahitaji demokrasia katika nchi hii lakini wao kwenye chama Chao hakuna demokrasia. Hili linatufundisha kuwa ukitaka demokrasia hakikisha nyumbani kwako Kuna demokrasia. Uongozi lazima uwe na ukomo wa muda ili kuleta mawazo mapya. Chagua Tundu lissu.
Baadhi ya wachambuzi wanasema Yanga wamekosea kumfukuza Gamond lakini pia wanaamini kocha mpya wa Yanga Ni wakawaida. Akifanya vizuri baadae utasikia yanga ilifanya chaguo sahihi na maamuzi mazuri.
Kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 asilimia 90 ya wabunge wa CCM watapiga magoti ya huruma ili wapate Kura maana ahadi nyingi hazijatekelezwa. Na wanaona Rais yupo bize na safari za nje ya nchi.
Awamu hii ya serikali ya awamu ya sita watatekwa, kukamatwa na kuuawa wanaharakati na wanasiasa wengi Sana sababu aliyepewa dhamana ya kuwalinda wananchi wake ana amini kifo Ni kifo tu. Nchi hii ngumu sana.
Free BONIFACE
Kinachoendelea Sasa Ni kukandamiza mafanikio ya Yanga yaliyoletwa na Eng. Hersi Said.
Hivyo Kuna kundi la watu linatamani nafasi ya urais wa klabu wa Yanga.