@zed_officialy angekua mwanaume tungejarbu kuamin π ila mwanamke πππΌππΌ ivi boom la chuo mnalijua nyie π em tuachen bhana ...watupumzishe
@0101DUBU maisha hayaendi haraka ivooh io ni video scene ndugu zangu waweza osha ivoh miaka yote na istokee chchte...life is all about chances tunapambana sana kwa sababu hatuji chance yetu iko wapi..means kama haipo kwemye icho unachofanya bas huwez kufka popote