📌 HIGH PERFORMERS
stand out through their ACTIONS.
🔸️ You take ownership
🔸️ You deliver consistently
🔸️ You solve problems early
🔸️ You communicate clearly
🔸️ You keep learning
🔸️ You stay calm under pressure
PERFORMANCE shows in HABITS, not words 💪
👉 Follow @BetterYouSkills for Actionable Tips on Soft Skills + Growth.
#HighPerformance #CareerGrowth #Leadership
''The fish rots from the head down"
The ph.rase "the fish rots from the head down" means that problems in an organization typically start with its leadership
Ndio mnaona kuna tabia mpya kama
-- Ufiraji unaofanywa na mamlaka na wanatuma watu kutangaza baada ya kufanya hivyo na wanachukua video, lazima shida ni kwa kiongozi , anaona haya ni mambo sawa na kawaida na hakuna hatua anachukua
-- Damu inamwagika, watu wanatekwa na kuuwawa kwa kasi, lakini hakuna uwajibikaji wala kukemea
-- Unaona kuna ufisadi mkubwa sana, kuna watu wanaiba mali za umma na kuzianika kila kona kuonyesha utajiri, magari ya kifahari na majumba, na unaona kiongozi wa nchi anasema kwamba kuna watu wanafikiria kwamba kutoa siri za wizi ni kumkomoa yeye, yaani badala ya kuwajibisha anaona kwamba hizo siri kutoka ni yeye kukomolewa
narudia the fish rots from the head down"