Tunajivunia kuwa na Rais ambaye si tu Kiongozi wa Taifa, bali pia Mama na Rafiki kwa wananchi wake. ♥️🇹🇿
Dkt. @SuluhuSamia ameendelea kuonesha uongozi wenye kujali, kusikiliza na kuwatumikia Watanzania kwa moyo wa dhati. Mama Samia ni Fahari yetu, Alipo Tupo.💪📌
#KazinaUtuTunasongambele
NDЕJEMBI ATOA ONYO KALI MBEYA!
Makamu wa Rais, Mhe. Deo Ndejembi, amekasirishwa na taarifa za udanganyifu kuhusu ujenzi wa barabara ya njia nne jijini Mbeya.
MAKAMU WA RAIS ACHARUKA MBEYA, AKEMEA UZEMBE NA AHADI HEWA ZA WATENDAJI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amekerwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa siku moja iliyopita ya kufungua barabara zilizofungwa kutokana...
Duniani kwote hvi ndivyo namna wanavyo shughulika na hawa vibaka hakuna kuwaonea huruma wapumbavu waliotoka majambani mwao na kuingia barabarani kihuni ili waibe na kuhatarisha maisha na shughuli za raia wengine hakuna namna nyingine ya kuwadhibiti zaidi ya kuwagonga kisawasawa.
Imagine celebrating the trailer before the full movie. The Chanzo’s February headline said “frozen.” A July decision reported by Daily News says the full €156 million allocation proceeded. Diplomacy has a funny way of demanding a sequel. Cc @TheChanzo@godbless_lema.
#WanaharakatiLimewashuka
Maana halisi ya uzalendo Ukiona jambo haliko sawa na unaweza kulirekebisha bila kuleta shida JUST DO IT watu kama huyo mdada hapo tunao waengi sana sema jamii ndiyo kikwazo hata yeye amekatishwa sana tamaa na baadhi ya watu wajinga kwenye jamii bt aliwafungia vioo. 👏❤️🇹🇿
CHIMBO LA VIJANA BRUNCH inakuja Gymkhana Grounds, Posta tarehe 24 na 25 Oktoba. Njoo kwa muziki na chakula. Baki kwa ajili ya mazungumzo, huduma na fursa.